MSAADA NIPO NJIA PANDA

MSAADA NIPO NJIA PANDA

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
190
Reaction score
84
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima naomba kwa anaye fahamu shule za private za advance zenye ada chini ya million 2 zilizopo Dar es salaam.
Kama mkiniambia Na ada zake itakua vizuri zaidi.
Nawasilisha naombeni msaada wenu.
 
Zpo
 
Hebu jaribu kiulizia Msangani iko Kibaha kwa Mathias.

Kwa Dar sidhani, jaribu Pwani.
 
Back
Top Bottom