Nimekwenda ofisi za Airtel pamoja na line yangu kukatwa imegoma ku operate 3G, simu naweza kupiga na kupokea, wakajaribu badala ya 3G kuweka EDGE lakini lakini ikagoma, nimeenda Tigo wao wameweka Line yao ile ndogo kwa ajili ya smartphone ndiyo inaonyesha kugoma hata kufanya kazi, msaada kwa wajanja nifanye nini ili niweze kupata Net na kuendelea kuifaidi Jamiiforums.