Msaada: Nini tofauti ya TBA na NHC? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Nini tofauti ya TBA na NHC?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasheshe, May 1, 2011.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu naomba kuelimisha nini tofauti ya Tanzania Building Agency (TBA) na National Housing Corporation (NHC)?

  Je majukumu ya TBA hayawezi kufanywa na idara ndogo ndani ya TBA.

  Msaasa tafadhali.
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  ndugu yangu, TBA ni kama consultants, kuna architects, engineers, quantity suveyors and any consultants ambao huwa wanasimamia na kudesign majengo mainly ya serikali, NHC inajenga na inamiliki majengo, na kutokana na ujenzi wa nhc mara kwa mara pia wana consultants wao ndani ya shirika kusaidia ufanisi katika shuguli zao.. Ni kweli unavosema kwamba some chores za TBA zingeweza kufanywa na consultants walioko ndani ya NHC, lakini i think their number is still soo little, so maybe wangekua more empowered, and wangeongezwa idadi kidogo, then mambo yangekua barabara, coz there could be no need of TBA
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ulipozitaja kwa kirefu tayari ulishatoa tofauti kuwa moja ni agency,mwingne ni mmiliki majengo. TBA hujenga na kumkabidhi Nhc ayaendeshe majengo ya umma. Gudtym.
   
 4. mwambojoke

  mwambojoke JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2016
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 829
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Hilli sio Jipu kweli?
   
 5. General Mangi

  General Mangi JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2016
  Joined: Dec 21, 2013
  Messages: 7,070
  Likes Received: 7,088
  Trophy Points: 280
  Vitengo vya ulaji hivyo nduguu!!
   
Loading...