Mabasi ya Dar-Moro-Dar huwa hayana makondakta anakuwa ni dereva peke yake basi. Hivyo ni swala gumu sana dereva kuendesha gari aje kumsikikizia abiria. Na isitoshe hiko kidude kikibonyezwa kinatoa mlio kwa dereva, asa fikiria kama mtu anafanya hivyo mara kwa mara inakuwa ni kero kwa dereva. Nimezunguza kwa uzoefu wa magari niliyowahi panda kwa kampuni zote nne (BM, AL SAEDY, NEW FORCE NA ABOOD) magari yote haya hayana konda kwa safari za maro dar moro