Msaada ninaweza kusoma course gani kwa ufaulu huu

medy45

Member
May 2, 2017
14
7
Habari zenu wakubwa nilikuwa naitaji ushauri juu ya course huu ndo ufaulu wangu form four
Math D
English D
Kiswahili D
Civics D
Geography D
hostory D
Physics D
Biology C

Chemistry sikufanya kutokana sababu zilizo nje ya uwezo wangu nilikuwa natka kujua kwa ufaulu wangu huo je naweza kusoma course yyte ya science au ni course ipi nzri ya kusoma ambayo iko vzr katika swala la ajira naombeni msaada wenu sana
 
sorry si una d na c kwenye masomo ya science !!!? na ufaulu wa chini kabx unaohitajika ni d mbili tu
 
Back
Top Bottom