Msaada: Ninasumbuliwa na kuumwa miguu

Msaada: Ninasumbuliwa na kuumwa miguu

Angy Roby

Member
Joined
Apr 10, 2026
Posts
12
Reaction score
2
Mimi ni mwanamke nina miaka 28, nasumbuliwa na miguu kuuma hasa nikiwa nimelala au kukaa, nimepima hiv,uti,typhod na malaria sina chochote, naomba mnisaidie ushauri tafadhali.
 
Inaumaje inawaka moto,kunavitu vinachoma,inajaa maji au inakufa ganzi?
Funguka vizur tupate pa kuanzia

Kwa msichana wa miaka 28 inasikitisha sana
 
Jaribu kadri ya uwezo wako kwa wiki moja bila kupumzika uwe unakimbia asubuhi na jion na unakimbia kweli. At 28yrs hiyo hatari sana coz ndani ya mifupa 'emesonto' yaan bone marrow ina shida na inaweza ikakuletea pneumonia maji unywe yakutosha. Japo hujaeleza kiurefu unavyoumwa bt jaribu nilichokuambia
 
Inaumaje na ni wakati wa baridi au wakati wote? Maelezo yako bado hayajajitosheleza ili kupata msaada. Pole sana.
 
Inaumaje inawaka moto,kunavitu vinachoma,inajaa maji au inakufa ganzi?
Funguka vizur tupate pa kuanzia

Kwa msichana wa miaka 28 inasikitisha sana
Yani ni kama ina uchovu flani, na mara nyingi nikiamka asubuhi inakuwa sawa, ila nikishuka nikakanyaga chini tu inakuwa mizito na kadiri ninavyotembea uzito unapungua kwa kiasi flani.
 
Inaumaje inawaka moto,kunavitu vinachoma,inajaa maji au inakufa ganzi?
Funguka vizur tupate pa kuanzia

Kwa msichana wa miaka 28 inasikitisha sana
Haiwaki moto, wala kuchoma wala kujaa maji, na kuna muda nikisimama muda mrefu bila kutembea tembea nachoka. Ingawa pia nina historia ya kufanya kazi ya kukaa kwa muda mrefu hapo nyuma, nilifanya kwa miaka 2.
 
Jaribu kadri ya uwezo wako kwa wiki moja bila kupumzika uwe unakimbia asubuhi na jion na unakimbia kweli. At 28yrs hiyo hatari sana coz ndani ya mifupa 'emesonto' yaan bone marrow ina shida na inaweza ikakuletea pneumonia maji unywe yakutosha. Japo hujaeleza kiurefu unavyoumwa bt jaribu nilichokuambia
 
Jaribu kadri ya uwezo wako kwa wiki moja bila kupumzika uwe unakimbia asubuhi na jion na unakimbia kweli. At 28yrs hiyo hatari sana coz ndani ya mifupa 'emesonto' yaan bone marrow ina shida na inaweza ikakuletea pneumonia maji unywe yakutosha. Japo hujaeleza kiurefu unavyoumwa bt jaribu nilichokuambintajitadi na je ni nini inaweza kuwa chanzo?

Asante ntajitahidi kipenzi, ila sababu pia inaweza kuwa nini.
 
Inaumaje na ni wakati wa baridi au wakati wote? Maelezo yako bado hayajajitosheleza ili kupata msaada. Pole sana.
Asante, sio muda wote kuna muda huwa inapoa nakuwa sawa hata kwa siku chache, baada ya hapo inaendelea na ni muda wowote.
 
Mimi ni mwanamke nina miaka 28, nasumbuliwa na miguu kuuma hasa nikiwa nimelala au kukaa, nimepima hiv,uti,typhod na malaria sina chochote, naomba mnisaidie ushauri tafadhali.
Wapendwa nina kilo 69, na miguu inauma tu haijai wala kuwaka moto na hali hii hapo nyuma ilikuwa inanitokea mara chache labda wiki 2 halafu inapoa yenyewe, kwa sasa huu ni mwezi wa 3 ndani ya miezi hiyo mitatu ilipoa wiki moja tu na ikendelea, nikiamka mara nyingi asubuhi najikuta haiumi ila nikikanyaga tu chini,unyayo unakuwa mzito na maumivu yanaanza taratibu muda huo. Mwaka 2023 na 2024, nilikua na kazi ya kukaa ofisini muda mwingi, je inaweza kuwa chanzo? Mara moja moja hali hii huwa inapelekea mwilj wote kuwa na uchovu na kuhisi baridi, yani kama homa flani. Yani kupata usingizi imekuwa changamoto kwa sababu nikijituliza tu ndo maumivu nayasikia vizuri. Naomba mbisaidie jamani.
 
Nina dawa ya miguu ya mitishamba, nikipata simu kubwa nitaenda kuipiga picha hiyo miti ili uitengeneze wewe mwenyewe huko, sema sina simu kubwa. Ila nina imani ukija pm tukayajenga ni poa tu,kuja tabora kwani ni bei gani toka huko uliko ukachukua dawa?
 
Mimi ni mwanamke nina miaka 28, nasumbuliwa na miguu kuuma hasa nikiwa nimelala au kukaa, nimepima hiv,uti,typhod na malaria sina chochote, naomba mnisaidie ushauri tafadhali.
Wapendwa nina kilo 69, na miguu inauma tu haijai wala kuwaka moto na hali hii hapo nyuma ilikuwa inanitokea mara chache labda wiki 2 halafu inapoa yenyewe, kwa sasa huu ni mwezi wa 3 ndani ya miezi hiyo mitatu ilipoa wiki moja tu na ikendelea, nikiamka mara nyingi asubuhi najikuta haiumi ila nikikanyaga tu chini,unyayo unakuwa mzito na maumivu yanaanza taratibu muda huo. Mwaka 2023 na 2024, nilikua na kazi ya kukaa ofisini muda mwingi, je inaweza kuwa chanzo? Mara moja moja hali hii huwa inapelekea mwilj wote kuwa na uchovu na kuhisi baridi, yani kama homa flani. Yani kupata usingizi imekuwa changamoto kwa sababu nikijituliza tu ndo maumivu nayasikia vizuri. Naomba mbisaidie jamani
Nina dawa ya miguu ya mitishamba, nikipata simu kubwa nitaenda kuipiga picha hiyo miti ili uitengeneze wewe mwenyewe huko, sema sina simu kubwa. Ila nina imani ukija pm tukayajenga ni poa tu,kuja tabora kwani ni bei gani toka huko uliko ukachukua dawa?
Nina dawa ya miguu ya mitishamba, nikipata simu kubwa nitaenda kuipiga picha hiyo miti ili uitengeneze wewe mwenyewe huko, sema sina simu kubwa. Ila nina imani ukija pm tukayajenga ni poa tu,kuja tabora kwani ni bei gani toka huko uliko ukachukua dawa?
Mimi niko Mbinga-Ruvuma, ila wazazi wangu wako Tabora je nakupataje? Pm ni wapi ili nikutafute?
 
Wapendwa nina kilo 69, na miguu inauma tu haijai wala kuwaka moto na hali hii hapo nyuma ilikuwa inanitokea mara chache labda wiki 2 halafu inapoa yenyewe, kwa sasa huu ni mwezi wa 3 ndani ya miezi hiyo mitatu ilipoa wiki moja tu na ikendelea, nikiamka mara nyingi asubuhi najikuta haiumi ila nikikanyaga tu chini,unyayo unakuwa mzito na maumivu yanaanza taratibu muda huo. Mwaka 2023 na 2024, nilikua na kazi ya kukaa ofisini muda mwingi, je inaweza kuwa chanzo? Mara moja moja hali

Mimi niko Mbinga-Ruvuma, ila wazazi wangu wako Tabora je nakupataje? Pm ni wapi ili nikutafute?
wapo tabora sehemu gani mwanike? Pm ipo wazi mkuu, pm ni sehemu ya ujumbe wa siri ambayo unaweza kuchati na mtu huko. Fungua profile yangu, utaona sehemu imeandikwa send direct meseji utabonyeza,na utapelekwa moja kwa moja pm na utajitambulisha, uandike namba yako nitakutafuta, usiandike namba yako hapa isipokuwa pm. Naomba uniambie wazazi wako wapo tabor sehemu/wilay gani?
 
Back
Top Bottom