Najua dhambi ni msingi wa shida zote kwa mhusika ila mimi naweza pinga aisee khaaaa labda za kurithi.Hebu angalia avatar yako kwa makini,na ujiulize unakosea wapi!!!
Huyo jamaa pamoja na kumusaidia mawazo mawazo mazuri uliyo mpa ukweli ni kwamba kinacho msumbua si wachawi.kinacho msumbua ni hisia zake na wala hana imani yoyote ni mbabaishaji tu.Pole sana mtumishi. Cha kwanza kabisa ambacho hutakiwi kufanya na kuendelea kufanya ni kuchoka. Adui halali hata siku moja kwa maana hiyo na sisi hatutakiwi kulala. Na kwa uzoefu wangu mwenyewe kati ya vitu ambavyo nimejifunza kwa wachawi (hawa wasumbufu) ni kuto kukata tamaa kamwe. Hawakubali kushindwa kirahisi. Ila na wewe ukiendelea kusimama na kuzidi kuwashambulia wanafikia sehemu wanakimbia jumla. Mungu ni mwema sana na hawana uwezo hata kidogo mbele ya Jina la Yesu, wanachokifanya ni kuendelea kukutishatisha ili ulegee wakumeze ukiwa mbichi. Kwa hiyo mpendwa usichoke wewe endelea kupambana hadi uwashinde. Usiruhusu kamwe wajitwalie utukufu juu yako maana unamwamini Mungu mwenye nguvu na mamlaka!
Hilo ulilosema lipo,.watu wanateswa na dhambi zilizofanywa na mababu na mabibi zao,kila unachogusa hakiendi/hakifanyiki hujui hao waliokutangulia walifanya maagano gani,ww sasa unatakiwa kukata huo mnyororo iwe wa magonjwa,kukosa kibali,amani,mapepo sijui nini vyooote uvikatae kwa Damu ya Yesu..hakuna jambo gumu yeye ameshindwa ni ww tuu kuamua kukataa hiyo roho ya mateso juu yako na kizazi chako,..Najua dhambi ni msingi wa shida zote kwa mhusika ila mimi naweza pinga aisee khaaaa labda za kurithi.
Niombee nipate kuvunja dhambi za kurithi pengine ndipo matatizo yangu yalipolala.
Nalifahamu hili mkuu, mimi naomba nifundishe maombi ya kusimamia ili nijue namna ya kutoka kwenye kifungo cha hayo madhambi.Hilo ulilosema lipo,.watu wanateswa na dhambi zilizofanywa na mababu na mabibi zao,kila unachogusa hakiendi/hakifanyiki hujui hao waliokutangulia walifanya maagano gani,ww sasa unatakiwa kukata huo mnyororo iwe wa magonjwa,kukosa kibali,amani,mapepo sijui nini vyooote uvikatae kwa Damu ya Yesu..hakuna jambo gumu yeye ameshindwa ni ww tuu kuamua kukataa hiyo roho ya mateso juu yako na kizazi chako,..
Mungu akufanyie wepesi.
Nina Imani pia nina hofu na MUNGU.Huyo jamaa pamoja na kumusaidia mawazo mawazo mazuri uliyo mpa ukweli ni kwamba kinacho msumbua si wachawi.kinacho msumbua ni hisia zake na wala hana imani yoyote ni mbabaishaji tu.
Naamini katika MUNGU wa kweli.Mie naona shida ipo kwenye kile unachokiamini. Kama hofu yako kubwa ni uwepo wa uchawi na nguvu zake lazima ushindwe. Ondoa hofu hiyo. Ishi maisha huru. Kama hizo nguvu bado zinakupa shida, basi upo upande usio salama.
Nina Imani pia nina hofu na MUNGU.
Vita ya uchawi ipo amini hilo.
Tatizo lipo pale unapokiri udhaifu ambao kiukweli HAUPO. Unapokiri kuwa wewe ni dhaifu basi dini yako ina mashaka. Sisi ni washindi kupitia jina lake. Tumetakiwa kuomba LOLOTE. Kama unaamini wewe ni dhaifu, utaendelea kuteswa hadi kuzimu.Naamini katika MUNGU wa kweli.
Sisi binadamu ni dhaifu na hatujui kuomba ipaswavyo! Je huyo roho mtakatifu tulie nae kwanini asitusaidie? Yeye ndie saada wetu... swala la hofu sina kwa sababu najua MUNGU ndie muweza wa yote kwa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Yeye anapswa aimarishe Imani yangu kutokana na hofu niliyonayo.