Kuna tofauti kati ya fujo za ana kwa ana na zile za kujificha mkuu..Hii mbona ni kahawa Mimi nimeistukia kitambo
Mtoa mada huwa ana bishana huko na huko katika majukwaa mbali mbali halafu hapa ana jifanya domo zege
Waweza kukuta Pm yake imejaa ..mpaka uwanja wa kuandikia text hakuna
ππππ
Naomba tu nisiwe nimeyakoroga..
πππwe njoo tu utakuja kutoa mrejesho hukuπ²π²
He he! Hizi mbinu hata bibi yangu alikuwa akizitumia ananidanganya nikiingia kwenye 18 nachezea kisago kikali halafu kosa ati nimekomba mboga yote ya usiku hivyo watalala njaa!!
nitakupanga subirSasa nije wapi..?
He he! Mkuu mwanamke ni kiumbe Cha kubembelezwa unaweza katwa maini kwa majibu ya hovyo usipokuwa makini.. hapo anaweza kukujibu "KWAHIYO"πManeno mengi ya nini? Kwani unaomba AJIRA? π Mwambie tu UNAMPENDA na kutaka awe mpenzi wako. Kwisha kazi.
Unataka KUREMBA REMBA mwisho unapata KIGUGUMIZI au kuwa Bubu πππππ
Mama ushairi kitu gani mbele ya kazi iliyonakshiwa kwa ustadi na muumbaπWacha Bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinambie mashairi yote haya Domo lako lina zege[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππEt kwaiyoHe he! Mkuu mwanamke ni kiumbe Cha kubembelezwa unaweza katwa maini kwa majibu ya hovyo usipokuwa makini.. hapo anaweza kukujibu "KWAHIYO"π
Jamaa chai sana huyu .. Kwanza madomo zege wengi huwa hawajijui mpaka waambiwe kuwa wao ni madomo zegeWacha Bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinambie mashairi yote haya Domo lako lina zege[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaaa wee Mzee hii strategy yako utasababisha kupigiwa kelele za ubakajiMwite mkamate kiuno mpige mate Β½ then acha utaona anakwambia malizia Β½...tiali.