Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,556
Kama ana stress mboga za majani zitamsaidia? Kama anakula mirungi aache mara mojaAchana na sigara na pombe, Kula vizuri hasa mboga za majani. Jioni pata maziwa ya vugvugu changanya na milo.
Mboga za majani zinakupa wepesi wa mwili na kutuliza akili.Kama ana stress mboga za majani zitamsaidia? Kama anakula mirungi aache mara moja
Mkono kati jeMi nisipopata usingizi naamka napiga pushup kadhaa nikiingia kitandan dakika sifur nalala, namaanisha jaribu kupiga zoezi
Asante MadamMboga za majani zinakupa wepesi wa mwili na kutuliza akili.
Mkuu napiga 350 kwa sikuMi nisipopata usingizi naamka napiga pushup kadhaa nikiingia kitandan dakika sifur nalala, namaanisha jaribu kupiga zoezi
Anza kufanya mazoezi na hasa kukimbia.Wadau naombeni ushauri
nina tatizo lakutopata usingizi yaani usingizi unaanza kunijia saa 9 nakuendelea
tatizo hilo limenifanya nirudi kwenye matumizi ya sigara ndio napata usingizi..
ushauri wenu tafadhari
Sigara ndio inakuharibu.
Achana nayo kabisa.
Jaribu pia kunywa maziwa nusu saa kabla ya kulala.Ogea maji ya chumvi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
asante!Achana na sigara na pombe, Kula vizuri hasa mboga za majani. Jioni pata maziwa ya vugvugu changanya na milo.
Napiga gym na push up 300+ kila sikuPiga zoezi la kutosha jioni,mwili utachoka Sana ,usingizi utakuja tu ,ingawa utawahi kukata
Asante sana!Anza kufanya mazoezi na hasa kukimbia.
Kunywa maji mengi.
Kula vizuri
Acha pombe na sigara.
#YNWA
Poa!Uwe unapiga kimoja kabla ya kulala
Mzee fanya mazoezi ya jioni, nzuri ufanye mazoezi ya nje ya kukimbia utalala ule usingizi wa mtoto mdogo pia kula mabilinganya kwenye mboga au maziwa fresh usiku utalala kama mbwaWadau naombeni ushauri
nina tatizo lakutopata usingizi yaani usingizi unaanza kunijia saa 9 nakuendelea
tatizo hilo limenifanya nirudi kwenye matumizi ya sigara ndio napata usingizi..
ushauri wenu tafadhari
Hujaeleweka!Unaona huna majukumu ya FAMILY wala kazi.