proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,571
- 4,925
Wasalaam wanabodi!!!
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, ndugu yenu nina tatizo la kujipizia hasa nikiwa na hofu kubwa. Hii hali ilinianza nikiwa kidato cha nne.
Nakumbuka nilikua nafanya mtihani muda ukaisha, mwalimu akaja kukusanya mitihani na jinsi mtihani ulivyokuwa mgumu halafu sijamaliza kwa hofu niliyokuwa nayo nikajikuta najipizia nikiwa nimkaa kwenye kiti.
Tangu kipind kile nilijitahidi sana hali hiyo isinitokee tena, bahati nzuri niliweza kujizuia but hali ilkuja tena kujirudia nikiwa form five lakini nilijitahidi sana siku hiyo sikupizi pia nilikuwa kwenye mtihani.
Sasa kinachonipa shida ni kuwa kwa sasa nikiwa nimelala nikiota ndoto mbaya lazima nijipizie(ni-ejaculate) na hii inanitokea mara kwa mara kwa wiki inaweza tokea hata mara 3.
Kwa kifupi ni kuwa sijawahi kupiga punyeto so sijui hata inavofanywa, pia sijawahi kufanya mapenzi na msichana hata mara moja, umri wangu ni miaka 22 kwa sasa.
Hapa najiuliza je hili tatizo ni kutokana na kutokufanya mapenzi ndio maana kitu kama hiki kinanitokea au ni psychological problem!??
Msaada ndugu zangu sina amani kabisa najihisi kama siko sawa kabsa!!!