Msaada: Nina roho mbaya sana

Kawaida tu, jitahidi usimuonee MTU, kisasi ni haki yako japo ukisamehe ni vizuri zaidi. Kuhusu wanawake sometimes lazima ujifanye lofa ndo utaendanao sawa. Yaani mfanye yeye ndo kila kitu wakati unajua c lolote. Vinginevyo watakushinda. Bila shaka ndo ile akili tuliyoambiwa tuitumie Ili tuishinao vizuri kutokana Na mapungufu Yao makubwa
 
Nenda kaombewe unaweza kuwa wewe ndio pepo
 
sijasoma yote lakini nikirudi nitaisoma yote naimani nitakuwa na baadhi ya majibu ya kukushauri yanayoweza kukusaidia naenda msibani kwanza lakini ni kitu ambacho kinanifutia kutoa mchango wangu wa mawazo kwa faida yangu pia. sasa msinishushue sana nishasema naenda msibani jirani yangu kajiua mwanza
 
upo depressed mkuu kuna kitu kinakusumbua sana kichwani ila hujakiweka wazi hapa pole sana kawaone wataalamu wa psychology watakusaidia
 
Okoka kama hutaki kafanye kazi mochwari ulale uko uko kunakufaa hustahili kuishi na binadam wenzio.
 
Na kumbe ndio sababu ya kumbaka yule bint WA miaka7

Em niambie tuition yko ilipo nije nisome Physics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…