Wana JF Habari Za Muda Huu.
Nna Shida Na Wakili Anisaidie Katika Ishu Yangu Ya Madai.
Kama Unamfahamu Wakili Mzuri Naomba Niunganishe ikiwezekana Nipate Mawasiliano Yake.
Kesi ya madai unadai sh ngapi? Usijekalipa milioni moja kwa wakili wakati unadai laki nne. Kama unadai pesa ndogo ambazo mamlaka yake (jurisdiction ) ni kusikilizwa ma mahakama ya Mwanzo kafungue kesi mahakama ya Mwanzo alafu atapewa summons ambayo inamueleza juu ya deni lake mkienda mahakamani kama unaushahidi wa kutosha atakulipa. Ila kama unadai mil 50 kwenda mbele tafuta wakili nae ale chake.