Msaada: Nina huruma kupita kiasi, siwezi hata kuchinja kuku

Kama kuna mtu yeyote anaeweza kujua namna ya kunisaidia

- Nakosa uhuru na amani
Hiyo ni dalili kuwa umejawa na roho ya Mungu, roho isiyofurahia kutoa uhai wa viumbe. Mimi niliacha kutumiakila aina ya nyama zenye kuchinja, kwa sababu ya huruma kama hizo. Maana yake nikila nyama naunga mkono mauaji ya wanyama wasio na hatia. Sijui mwenzangu kwa hilo ukoje? we pia ni ke au me
 
Acha uoga mtoto wa kiume,unatakiwa uwe na roho ngumu
Mi huku nachinjaga nguruwe napiga shoka za kichwa Zikilia milio yake mi ni burudaniiii
 
Kama kuna mtu yeyote anaeweza kujua namna ya kunisaidia

- Nakosa uhuru na amani
Hiyo siyo huruma, ni ujinga wa kushindwa kutambua wajibu wako kama mwanadamu....
Mwanadamu ni mtawala wa viumbe vyote...
 
Kwa hiyo ukipigwa shavu la kulia utamgeuzia na shavu la kushoto? Hongera, lakini huruma na maendeleo vinakinzana
 
Duu! Si bure umetupiwa jini la wasiwasi.Itafika kipindi kila ukitaka kufanya jambo muhimu una khairisha (kama kusoma,kujenga au kuoa) kwa kuogopa kufa.
Nitafute PM nikupatie dawa "mujarabu" kuondoa tatizo linalokusibu haraka!
 
Back
Top Bottom