Msaada: Nina hali la kutamani kila Mwanamke

Msaada: Nina hali la kutamani kila Mwanamke

Nina tatizo kubwa binafsi kwangu naona kama ni tatizo kubwa kwa sababu sikuwaga hivi.

Kwasasa nina hali ya kutamani kila mwanamke, huenda mwingine akasema hiyo ndio sifa ya mwanaume kamili lakini naweza sema katika sifa hiyo uwaga inamipaka yake, si kila mwanamke na si kika wakati.

Mwingine atasema huenda hujafanya kufanya mapenzi muda mrefu jibu ni hapa. Ninaye mwanamke wangu ambaye kila siku huwa ananipa hitaji langu, lakini hii hali haitokomei ndio inazidi kila siku na kila wakati ambaye alishawahi kukutana na hali hii anipe ushauri anipe mawazo au utatuzi ambao aliufanya.
Wala siyo sifa ya mwanaume hiyo. Ni stage flani ya foolishness kwa mwanaume kudhani ni kila mwanamke ni wa kuvuliwa chupi na wewe. Wewe wagonge wapange hata foleni ila kuna stage inakuja utakuwa unajuta. Kwenye ngono unakusanya mabaali na maashera mikosi na nuksi za familia zao. Chagua mmoja au wawili stick nao mkuu. Utanishukuru baadaye
 
Back
Top Bottom