Wandugu flash yangu hapo mwanzo nilikuwa na weka kwenye radio ya gari ikawa inafanya kazi vizuri sasahivi ukiweka inabakia kwenye ku read tu ila nikiweka kwenye pc inasoma au nikiipachika kwenye smart phone ina play vizuri mbaya zaidi ukitoa video kwenye simu kuhamishia kwenye flash utaona imehamisha vizuri ila badae utakuta video nyingine haziplay hata kwenye picha ni hivyohivyo sijajua inasababishwa na nini msaada wenu naomba aksante