yaani huwezi amini nilitaka kuleta uzi kama huu.mimi simalizi masaa mawili bila kutafuna kitu.yaani nakula mdogomdogo kama mchwa.siwezi kula lisahani hilo.ila yaani nakula kula sana
yeah, kuwa makini, ukizoea sana, ni ngumu kuachaewaaaaaaa
unaona eeh! mimi mwenyewe hali hiyo ilinikuta, nikaambiwa ni dalili ya uzito kuongezeka, nikaanza kuacha taratibu hadi sasa kilo zangu nime maintaingained 7kilos !pyuuuuu
unaona eeh! mimi mwenyewe hali hiyo ilinikuta, nikaambiwa ni dalili ya uzito kuongezeka, nikaanza kuacha taratibu hadi sasa kilo zangu nime maintain
Yeah, if its habit now, its hard to get out of it, but kaa mbali na chakula, kuna msemo i picked it somewhere " unapaswa kula chakula kama dawa sasa, ili usije kula dawa kama chakula baadae"hahahhahah aisee nimecheka !sure mkuu ila sasa jinsi ya kuacha ndo nashidnwa
nilitajiwa vyakula vyenye calories chache mfano matunda , niliambiwa nikila hayo hata idadi ikiwa kubwa siwezi ongezeka kgukipata na njaa ulikua unakula nn sasa !mie siwez kbs kushinda na njaa hata kuongea huwa kunakata
asubuhi nimekunywa kikombe cha uji wa lisheHaaaaaaaaah hv hapa nina popcorn jaman nazifata mbali nyie, kuna kaka anazitengeneza nzuriii za tangawiz bas mie kila siku nikifika pale namwangaliaga tu ananifungia najisepesha !leo sijenda kazini huwz amini nimezifata mjini !uwiii !hapana sio kawaid jaman na wala sio minyoo !
kuna dada mmoja job yy halag kitu jaman zaid ya lunch !ananiambia nina PEPO niende naye kanisani hahahahahha !