Jamani mi napenda sana smartphone tachi screen lakini kwangu ni tatizo.Tatizo langu ni kuwa ninapoandika kwa ncha za vidole nahisi moto,nikamaliza kuandika kama ni sms kidole utadhani nimeungua na kujaa maji ya malengelenge na maumivu.Niliwahi kuwa na samsung nikaisukuma nikachukua simu yenye batton za kawaida tu. Nimejaribu simu tofautitofauti nikidhani tatizo labda ni aina ya simu lakini wapi. Tatizo model zenye stiki ni chache hasa za watu wa kipato cha kawaida na nyingi zinataka vidole tu na huwezi tumia kitu kingine. Once nikipata nzuri inayosapoti stiki ya aina yoyote nadhani nitafurahi.Msaada ninaoutaka ni kujua tatizo langu na namna ya kulisolve ili niwe kama wengine.Nisaidieni jamani.
Nenda hospitali utapata tiba sahihi...humu watakubeza tu
Kuna mambo mawiliJamani mi napenda sana smartphone tachi screen lakini kwangu ni tatizo.Tatizo langu ni kuwa ninapoandika kwa ncha za vidole nahisi moto,nikamaliza kuandika kama ni sms kidole utadhani nimeungua na kujaa maji ya malengelenge na maumivu.Niliwahi kuwa na samsung nikaisukuma nikachukua simu yenye batton za kawaida tu. Nimejaribu simu tofautitofauti nikidhani tatizo labda ni aina ya simu lakini wapi. Tatizo model zenye stiki ni chache hasa za watu wa kipato cha kawaida na nyingi zinataka vidole tu na huwezi tumia kitu kingine. Once nikipata nzuri inayosapoti stiki ya aina yoyote nadhani nitafurahi.Msaada ninaoutaka ni kujua tatizo langu na namna ya kulisolve ili niwe kama wengine.Nisaidieni jamani.
Tatizo lako ww unatumia simu za mchina maana ukijaribu kufuatilia hakuna simu orginal ambayo inatumia mguso wa kucha kama unavyodai ww,simu nyingi za mchina zinasense kucha,jaribu iphone utafurahi tuJamani mi napenda sana smartphone tachi screen lakini kwangu ni tatizo.Tatizo langu ni kuwa ninapoandika kwa ncha za vidole nahisi moto,nikamaliza kuandika kama ni sms kidole utadhani nimeungua na kujaa maji ya malengelenge na maumivu.Niliwahi kuwa na samsung nikaisukuma nikachukua simu yenye batton za kawaida tu. Nimejaribu simu tofautitofauti nikidhani tatizo labda ni aina ya simu lakini wapi. Tatizo model zenye stiki ni chache hasa za watu wa kipato cha kawaida na nyingi zinataka vidole tu na huwezi tumia kitu kingine. Once nikipata nzuri inayosapoti stiki ya aina yoyote nadhani nitafurahi.Msaada ninaoutaka ni kujua tatizo langu na namna ya kulisolve ili niwe kama wengine.Nisaidieni jamani.
Inawezekana ni touch screen ila yeye ana press na kupata hy madhara.Hiyo itakuwa mchina na ni Press-screen siyo touch-screen.
Kuna mambo mawili
1. Namna unavyotumia simu, touch scrn unatakiwa kugusa very slightly
2. Aina ya screen protector, nyingine sio nzuri zina cause friction.
otherwise huna tatizo lolote
Nenda hospitali utapata tiba sahihi...humu watakubeza tu