Ana miaka miwili na nusu ila utosi wa mbele bado kuna sehemu ndogo bado inacheza, yuko kawaida anakula vizuri na kucheza, kuongea pia imekuwa shida, anajuwa kuhesabu, kusoma na kuimba ila hawez unganisha sentensi, ukimuuliza anajibu yasiyoeleweka, wakuu nifanyeje ukizingatia ni my first born naogopa