Msaada: Nimetekwa China

Mtu anayesimulia mambo ambayo hayamuhusu kabisa au kujisingizia matatizo ambayo hajawahi kukutana nayo exactly huwa ana tatizo gani?
Kuna watu maisha yao ni movie movie tu, either hawajiamini na maisha yao halisi au hawayapendi maisha yao halisi.
 
Mtu anayesimulia mambo ambayo hayamuhusu kabisa au kujisingizia matatizo ambayo hajawahi kukutana nayo exactly huwa ana tatizo gani?
Kuna watu maisha yao ni movie movie tu, either hawajiamini na maisha yao halisi au hawayapendi maisha yao halisi.
Akikoswa koswa kugongwa na gari anahisi CCM walitaka kumuua, akiona ndege wanaruka ruka alipo anahisi drone za CCM, akifail anahisi CCM jamaa ana tatizo linaitwa wasiwasimaniac
 
Anahitaji msaada wa ushauri nasaha, atapona.
 
Nimesoma yote ila sijaelewa chochote zaidi ya kuona dishi limeyumba. Bora wewe umeelewa mkuu.
 
Akikoswa koswa kugongwa na gari anahisi CCM walitaka kumuua, akiona ndege wanaruka ruka alipo anahisi drone za CCM, akifail anahisi CCM jamaa ana tatizo linaitwa wasiwasimaniac

Mtu hajui hata kujieleza eti TISS wanamfuatilia awe mtu wao! Ataenda kuwasaidia nini huko? Yawezekana huko kuna wapuuzi wengi ila sio kwa kiwango cha huyu jamaa.
 
Kwa mwandiko huu ushaibiwa nyota kitambo sana!hukuwahi kujifunza kuandika hata imla!!
 
Mkuu haya yote uliyoyaandika hapa nenda hospitali ukamuhadithie daktari na hakika atajua wapi pa kukuanzia kukusaidia
NB..jamani huyu mtu tusimshambulie tatizo kama lake lishawahi mkumba moja kati ya mtu wangu wa karibu na bahati nzuri liliisha....akifuata ushauri wangu nauhakika tatizo litaisha
 
Ushauri uliompa Ni wa maana Sana Ila sijui Kama ataufanyia kazi
 
Hangover ikikuisha tafadhali andika uzi vizuri tukuelewe".... Maana sijaona mahala popote katika hiyo statement yako " ukiwa umevitaja hivyo visa ulivyo kuwa ubafanyiwa wakati ukiwa katika vyuo vya nchini mpaka huko nje ya nchi"..... sasa kwa muktadha huo unataka sisi hadhira tujifunze nini " toka katika hii statement yako "!?
 
maandiko yako yote hayako katika mtirriko stahiki umeficha huku wataka kusaidiwa na inawezekana unahitaji ushauri zaidi kuhusu elimu ya mafikirio na utashi na inawezekana kwa mujibu wa story yako wewe ndio tatizo kubwa hakuna mwanadamu anaechukiwa na watu wote jitathmin mara mbili mbili vingnevyo utakufa kwa vitu vya kupumbavu kabisa "ACHA MAWAZO POTOFU"
 
sasa mwanajf mwenzetu hao majasusi ulionao wawili kwa nini usijitoe muhanga uwamalize wote ili angalau ufe kiume sasa kama unezungukwa pande zote nne za dunia unategemea nini kitakuokoa au unataka mpaka utaturiwe marinda ndo ujue huna mwokozi.

Ila kiuhalisia uzi wako umekaa kitapeli .wewe utakuwa una uhusiano mkubwa na yale mabango tunayoyaona mabarabarani yakitutaka tujiunge na freemason
 
Naona ndugu una tatizo na hujitambui kabisa, Ushauri jaribu kuwasiliana na watanzania ambao wapo huko nafikiri wana group au jumuiya kila jimbo na wana viongozi wa kitaifa nafikri so waeleza hayo wataweza kukusaidia pili: Kama ni lugha ya kichenese kwa level yako wewe soma tu inaeleweka ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…