Msaada: Nimetekwa China



Yaelekea chanzo cha shida zako ni wewe mwenyewe, maana kila ulipoishi ulionekana kutoelewana na watu, je hukuona busara kuchukua muda na kujitafakari ni wapi unakosea!?
 

Kuna jamaa yetu ka RIP mwaka 2012 na yeye alikuwa na staili hizi hizi,mwisho akajiua kwa kudive kwenye lami ili gari limgonge,na kweli tairi la nyuma likampandia kichwani,akafa hapo hapo
 
Umeandika maelezo mareeeeefu lkn nilichokiambulia hapo ni hilo neno CCM kwani we ni nani,?Kwanini wakuhitaji ww kwa nguvu kiasi hicho,?tofauti na masomo kuna la ziada unajihusisha nalo,?
Anyway Mungu yu pamoja nawe utaishinda hiyo vita unayopigana pole sn.
 
Nshagundua now days Kupitia pitia Jf kila mara ni muhimu, Mtu anaweza akukope huku kitaa ukimchomolea tu anajiunga Jf kukufungulia uzi na kuzushiwa eti wewe ni umemchukulia nyota yake, n mchawi, unamfuatilia sana au anaenda mbali zaidi kukuzushia kwa uma eti wewe ni CCM. Mwisho wa siku unashangaa mbona kila ukiandika comment hupat like hata mojaa? Unajiuliza umewakosea nini wana jf? Maana hata New member hakupi like, kumbe ushafunguliwa uzi na upo ON TRANDING/TOP OF THE TABLE na ukikutana na mods mchawi mchawi unawekwa kwenye STICKY threads kbsa
 
Mbona husemi unadhani chanzo cha ugomvi wenu na hiyo "ccm" ni nini?

Au una vita vyako vya kimila na mashetani ya kwenu?

Wewe una "thamani" gani mpaka ufuatiliwe hivyo?

Nikuambie ukweli wewe hujui serikali na nguvu zake.

Huna lolote mbele ya serikali ikikutaka. Acha upuuzi.

Na hiyo hela ya kusoma china umetoa wapi? Au ndo wale wale nakuadi ?

Kama chuo kilifungwa kwa kukosa vigezo ndo uichukie serikali?

Jitathmini dogo...tafuta maisha na sio ugomvi.
 
Ndugu yangu mimi mtu wa upinzani sasa hao watu wa CCM wakishakusoma na kuona huna time nao wanakuwekea vikwazo kwa namna mbalimbali kama ilivyonitokea pale RUCU na University of Iringa.
Lengo la hayo mateso ni kukulainisha ili uwe upande wao au kwa kifupi uwapende. Haina tofauti sana na wale watuhumiwa wanaopewa mateso makali ili waseme kitu fulani kama wapo suspected... Hicho ndicho nilichofanyiwa na ninachoelea kufanyiwa.

Mimi nikuambie tuu mkuu ni CHADEMA, mimi napenda mabadiliko, mimi ni mwanamapinduzi wenyewe wajua hili ndio maana waliniingilia kwa gia ya mateso.
Lengo la kunitenga ni ili nifadhaike au niteseka moyoni halafu niwapigie magoti... ukisikia vikwazo ndio hivyo sasa yani unabwanwa hadi unashinwa la kufanya mwishowe unakubali tuu kwa sababu huna namna.
Ndio ni wanausamala wa serikali(CCM) nilikuja kugundua mwezi wa nne mwaka 2017 ila kimsingi ishu imeanza muda tuu kwa kifupi nilishapangiwa hii kitu.
So mambo hayaanzi from nowhere bali yalisha pangwa muda... ndivyo wanavyofanya.

Sina hela kwa sababu sina kibarua mkuu na sidhani kama wataruhusu hili... hata nikipata kibarua mahali sitakifanya kwani watatia figisu zao.
Nimeshaacha vyuo viwili sasa hichi cha tatu nishakiacha tatizo sina pakwenda kwa sababu nipo kifungoni japo ni cha nje ila kimsingi nimetekwa halafu niko nchi ya watu kwa hiyo sina pakwenda... sina pesa pia naogopa kusafiri kwa sababu watanimalia... hilo sidhani kama wataruhusu.
Naomba nisaidiwe kibinadamu kwa sababu naishi kama mfungwa... i need to get out of this prison... yanayofanyika huku ni makubwa sana.

Kwa mfano hata hapa utawaona wanavyokuja negatively kunikaisha tamaa eti nilichoandika hakieleweki though najua sijui kupangilia matukio vizuri ila
hapa mwenye nia njema ataelewa kitu... haters watakanusha na kutoa kejeli.


Mkuu mpaka hapo nadhani utapata uhalisia zaidi.
 
This is real life mkuu.. of course nipo under tension kwa sababu nipo detained ila sijawehuka...
Nipo vizuri kiakili mkuu.
Shida yangu haya maCCM yaliyonifuatilia hadi nje ya nchi.
Ninapigwa collabo na mataifa zaidi ya sita.
Nimehifadhiwa somewhere japo ni kifungo cha nje ila kuna kazi nzito sana.
 
Kusema kweli hueleweki...
Ila utakuwa mtoto wa kishua ndiyo maana una afford kulipa vyuo unahama hama tu na kuacha.
Halafu wewe kama wewe una umuhimu gani mpaka CCM waingie gharama kiasi hiki mpaka cha kukutumia special agents wa kwenda nawe China yani ina maana wewe ni tishio kiasi hicho?
Kama ungekuwa tishio kiasi hicho si wangekuua tu.
Utakuwa una tatizo una hofu mambo yasiyo kuwepo jitafakari.
Fear is not real. It is a product of thoughts you create. Do not misunderstand me. Danger is very real. Fear is not real
 
Wewe ni nani hasa na una threat gani kwa CCM hadi watumie pesa nyingi na mda wao mwingi kukuzima wew, hebu funguka vizur Mzee , maana kama watu wa chadema ni wengi mno, kwanini iwe ni wew, na ni mwanafunzi bado??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…