Msaada: nimeshidwa kukonect modem kwenye laptop yangu.

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
Nimenunua leo hizi modem mpya za airtel bad lack inashidwa kuwa connected to the internet
Ninatumia Dell laptop with Windows 7.

Inakuwa inaleta ujumbe wa failed to dial *99# (kama sijakosea hizo namba ila 99 ipo)

Naomba msaada kama kuna mtaalam juu ya hili jambo.
 
nenda ktk setting option profile tazana deal number ipo *99# kama haipo weka kama ipo na inakudingua delete profile click new proile itakuja yenyewe *99# mana bila hiyo namber haitaweza ku conectna net
 
Msaada: kwenu wataalam wote modem iana gani ninunue kwa matimizi ya kawaida

nunua yoyote ila vizuri tafuta huawei e303 ambayo ni simple kui unlock na kuweza kutumia mitandao yote.
(kwa urahisi wa kutoa lock usinunue e303 hi-link ambayo hufanana na e303 tofauti kumeengezeka neno hi-link)
nenda ofisi za zantel wanazo hizi huawei e303.
 
Mkuu! Nitazijuaje tofauti zake mimi Mwendabure, nisaidie maelezo mepesi tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom