Msaada: Nimesahau password ya iphone 6

Msaada: Nimesahau password ya iphone 6

Inawezekana vipi utumie simu zaidi ya miaka miwili...uje usahau namba ya siri hivi hivi.....

Kwa matumizi ya iPhone huwezi kufanya task nyingi bila ya kujua...pasword zako....sasa yeye kwa kipindi cha miaka hiyo miwili alikuwa anafanyaje hayo pasi na kujua hizo pasword.....

Inawezekana wewe umeuziwa simu ya wizi sasa unatafuta namna ya kuifungua.....
Mkuu mimi mwenyewe nimemshangaa, ila nikareset baada ya hapo ukitaka kufungua baadhi ya app inaomba kusign in na hy email inaonekana lkn password ndio imeleta shida, wala sio ya wizi anayo mda mrefu na aliniuzia simu yake ya zamani baada ya kuletewa hiyo
 
password ya nn
-ku unlock phone
-ya email ya simu
-ya icloud/itunes account
-ya app husika
hauko specific ni password ipi
Ya email ya app mkuu yaani hawezi ku download app yoyote au ku update mpaka aingize password za hiyo email, ila simu anapiga na sms pia
 
Habari wana jf,
Kuna rafiki yangu anatumia simu ya iphone 6 aliletewa na kaka yake na pia kaka yake huyo ndio alimuunganisha simu yake na email yake, sasa rafki yangu kachezea simu yake, sasa inahitaji password na kaka kaisahau, hawezi ku update app yoyote.
Cm ya wizi hiyo mkuu,sema ukweli.
 
Cm ya wizi hiyo mkuu,sema ukweli.
Sio ya wizi mkuu anaitumia mda tuu kaletewa na kaka yake, na hiyo email inasoma jina la kaka yake na ndo yeye kaisahau hy password, huyu rafki yangu hajui chochote kuhusu hizo simu anadai ni ngumu sana kutumia
 
Si umesema kaiunga kwa email ya kaka yake mwambie ai reset password kwa kutumia hiyo email. Yani aende kwenye web ya apple kwenye forgot password aweke email aliyotumia atatumiwa link ya kureset password via email
Kama kweli sio simu ya wizi, huu ushauri unamtosha sana
 
db3a26c7eafce82e6101dbf90eb94446.jpg
Hizo mbwembwe tu hata sisi tunazo
1476132827848.png
[emoji23]
 
Hapana mkuu, hiyo simu anayo karibu miaka miwili sasa na huyo kaka yake hua anaenda China. Na ndie alimletea hiyo simu

Ukaisahau Password kuna maswali matatu yaliulizwa wakati wa kufungua Itune account na ambayo yana Uhusiano mkubwa na maisha Yako mfano: jina la pili la mama yako Ni.... Hivyo Kama Kweli simu Ni yako nenda Kwenye setting then Itune& Apple Store , ukiifungua hii pale Juu utaona email yako uliyofungulia acconunt , chini yake kuna chaguzi kadhaa lkn kama wewe umesahau password fungus palipoandikwa iForgot password then watakuuliza maswali kadhaa yanayokuhusu na ambayo Kama wewe Ni Muhusika huwezi kuyakosea.
 
Mimi sio mtumiaji wa hizi simu, yeye kaniambia apple hua na email yake pekee km ilivyo gmail ya playstore, simu anapiga sms za kawaida anatuma na kutumiwa, lkn tatizo hawazi ku update app yoyote na hata whatsapp yake imegoma
Unaweza tumia email yotote sio lazima iwe ya icloud mbona mimi natumia email yangu ya gmail
 
Back
Top Bottom