Jiran mwema
Senior Member
- Nov 7, 2015
- 164
- 104
Alieniuzia nae sio yake mkuuHapo ni mtihani mfuate huyo jamaa alokuuzia akusaidie
Daaah!!Unamaanisha Urafik wa faida?Pengine haikuwa ridhki yako, ushauri wangu tengeneza urafiki na mtu wa vodashop haraka iwezekanavyo au tafuta mtu mwenye urafiki na mtu wa vodashop atakusaidia
Mtu wa voda shop hawezi msaidia chochote ,hiyo ngoma mpaka Wakala wake mkuu awasiliane na voda makao makuu ,kwa hiyo apo lazima mwenye laini ahusike amtafute aliyemuuziaPengine haikuwa ridhki yako, ushauri wangu tengeneza urafiki na mtu wa vodashop haraka iwezekanavyo au tafuta mtu mwenye urafiki na mtu wa vodashop atakusaidia
Exactly na awe wa jinsia yako mbona mambo yatakua mswano haraka.Daaah!!Unamaanisha Urafik wa faida?
Anaweza ndugu mtanzania, atakuwa ni kiungo data zote wako nazo hivyo yeye ndio atacheza na system.Mtu wa voda shop hawezi msaidia chochote ,hiyo ngoma mpaka Wakala wake mkuu awasiliane na voda makao makuu ,kwa hiyo apo lazima mwenye laini ahusike amtafute aliyemuuzia
Kama uko Dar nenda Makao makuu ya Voda (Mlimani City). Wambie ukweli kuhusu umiliki wako wa laini, wambie huna leseni wala TIN wao watakupa mawasiliano ya wakala mkuu(ambaye wewe uko chini yake), ukishafika kwa wakala mkuu atakupa barua ya utambulisho na voda pia watakupa barua ya utambulisho, utaenda polisi watakupa loss report hivyo vyote utavibeba na kuvipeleka voda watafanya michakato yao kisha laini yako utapewa, ukumbuke kua na taarifa za kiasi cha pesa kilichokuwemo kwenye laini maana utaulizwa.Habar zenu wana Jamvi
Kama kichwa cha uzi hapo juu,Nimepotelewa na lain yangu ya uwakala na kuna pesa ndan yake nashindwa nifanyeje ili niirudishe.
Kwa wenye uelewa tafadhar nipeni mwanga.
Note:Hiyo lain nilinunua kwa mtu hivo nyaraka zake sina maana(Haikua na Jina langu).
Kama uko Dar nenda Makao makuu ya Voda (Mlimani City). Ukweli kuhusu umiliki wako wa laini, wambie huna leseni wala TIN wao watakupa mawasiliano ya wakala mkuu(ambaye wewe uko chini yake), ukishafika kwa wakala mkuu atakupa barua ya utambulisho, utaenda polisi watakupa loss report hivyo vyote utavibeba na kuvipeleka voda watafanya michakato yao kisha laini yako utapewa, ukumbuke kua na taarifa za kiasi cha pesa kilichokuwemo kwenye laini maana utaulizwa.
Itachukua kama 1-2 weeks mpaka kuipata.
du kwa kweli ni kazi yaani kwa ushauri wangu anza upya kwani mimi ilishawahi kunitokeaa ni ngumu sana kuipataHabar zenu wana Jamvi
Kama kichwa cha uzi hapo juu,Nimepotelewa na lain yangu ya uwakala na kuna pesa ndan yake nashindwa nifanyeje ili niirudishe.
Kwa wenye uelewa tafadhar nipeni mwanga.
Note:Hiyo lain nilinunua kwa mtu hivo nyaraka zake sina maana(Haikua na Jina langu).
Sio ngumu usimtishe.du kwa kweli ni kazi yaani kwa ushauri wangu anza upya kwani mimi ilishawahi kunitokeaa ni ngumu sana kuipata
Asante mkuuKama uko Dar nenda Makao makuu ya Voda (Mlimani City). Wambie ukweli kuhusu umiliki wako wa laini, wambie huna leseni wala TIN wao watakupa mawasiliano ya wakala mkuu(ambaye wewe uko chini yake), ukishafika kwa wakala mkuu atakupa barua ya utambulisho na voda pia watakupa barua ya utambulisho, utaenda polisi watakupa loss report hivyo vyote utavibeba na kuvipeleka voda watafanya michakato yao kisha laini yako utapewa, ukumbuke kua na taarifa za kiasi cha pesa kilichokuwemo kwenye laini maana utaulizwa.
Itachukua kama 1-2 weeks mpaka kuipata.
Unaweza kunitafuta PM nikupe mawasiliano ya mtu anayeweza kukusaidia muongozo yuko pale ofisini (kitengo cha Mpesa).