mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
Wakuu nimepata tatizo kwenye facebook acount yangu, toka jana nashindwa kulog in, kila nikiingiza user name na password inastuck hapohapo lakini baada ya kuhangaika kwa sasa naweza kulog in ila nina access kwenye timeline yangu tu siwezi kuaccess chochote kwenye homepage wala kuaccess groups ambazo ni member. Niclick home hairespond
The same nikilog in hairespond hadi niingize facebook id yangu ambayo inanipeleka kwenye timeline moja kwa moja.
Nombeni msaada
The same nikilog in hairespond hadi niingize facebook id yangu ambayo inanipeleka kwenye timeline moja kwa moja.
Nombeni msaada