fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,503
- 27,809
dah aisee sio powa mkuu nasubiri nimalize dozi hii nione lakn s naweza kwenda pharamcy ili nibadilishiwe dawa mkuu kujarbu njia nyngneFangasi ni dalali mbaya ya magonjwa ya zinaa. Kama umetumia dawa zimedunda kafanye vipimo zaidi
hapana sijawahi kabsa mkuu na imenianza ndaNi ya week hiz mbili mkuu nkaona niende pharamacy ndo nmepewa dawa mkuuAisee pole sana mkuu, Umewahi kuupitisha ulimi kwenye naniliu ? Hapo inabidi upigwe sindano usiwacheleweshe sana wawe sugu utateseka mno
View attachment 2766425
dah aisee sio powa mkuu nasubiri nimalize dozi hii nione lakn s naweza kwenda pharamcy ili nibadilishiwe dawa mkuu kujarbu njia nyngne
Mfamasia sio daktarihapana sijawahi kabsa mkuu na imenianza ndaNi ya week hiz mbili mkuu nkaona niende pharamacy ndo nmepewa dawa mkuu
sawa mkuu naomba kuuliza huu ugonjwa pia s naweza kuambukizwa kwa kuptia kupiga denda na mtu mwenye nao laknUsichelewe kimbia hospital
Nenda hospitali mkuu, lazima daktari akuchunguze na kama ikihitajika afanye vipimo fungus ukiwaacha wakawa sugu utapata shida kuwatoa...daktari ndio anaweza kujua kama upigwe injection au utumie dawa zipi...ukipata ugonjwa mpya anzia kwa daktari pata uhakika ndio utumie dawahapana sijawahi kabsa mkuu na imenianza ndaNi ya week hiz mbili mkuu nkaona niende pharamacy ndo nmepewa dawa mkuu
sawa mkuuMfamasia sio daktari
sawa mkuu ngja nianzie hopstal za kwetu chini au kuna haja ya kwenda mwanayamala kansa mkuu..?Nenda hospitali mkuu, lazima daktari akuchunguze na kama ikihitajika afanye vipimo fungus ukiwaacha wakawa sugu utapata shida kuwatoa...daktari ndio anaweza kujua kama upigwe injection au utumie dawa zipi...ukipata ugonjwa mpya anzia kwa daktari pata uhakika ndio utumie dawa
kwaiyo hii sio fangasi mkuu...? kama uonavyo kwenye picha mkuuHuo ni utando mweupe mdomoni
Hiyo kitu uwezekano mkubwa sio kansa, oral thrush ni kawaida kutokea inawezekana ulikuwa hufanyi usafi wa kinywa wa kutosha, au ulikuwa unatumia antibiotics kwa muda mrefu zilizopelekea kinga ya mwili kushuka na kufanya itokee...unatakiwa uanze tu kwa daktari wa kawaida (General Practitioner) usikimbilie kwa mtaalamu wa kansa...ondoa shaka hiyo kitu ukipata dawa sahihi ndani ya wiki mbili utakuwa kawaidasawa mkuu
sawa mkuu ngja nianzie hopstal za kwetu chini au kuna haja ya kwenda mwanayamala kansa mkuu..?