Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,542
Duh vitu vya enzi hivyo, kwanza speed zitakuwa ndogo sana, kama unataka kutengenezeza wireless network kwa eneo lako ni bora ungenunua mifi zile ndogo zinakuwa na na battery na unaweza tembea nayo ni kama hotspot za smartphone zifanyavyo kazi, au kama ni kubwa ungetafuta router zinazo support 3G/4G dongle au Simcard nadhani tigo, halotel wanazo, ila kwa hizo hamna cha maana utakachofanya nazo ni old generation nahisi ni 56k modem zilitumika miaka hiyo.
Dah! Nashukuru sana kwa ushauri wako mimi mwenyewe nilikuwa nahisi hivyo, kwahiyo hii router haisapoti usb dongle duh! Kweli haya makorokoro. Hakuna kingine cha kuyafanya?Duh vitu vya enzi hivyo, kwanza speed zitakuwa ndogo sana, kama unataka kutengenezeza wireless network kwa eneo lako ni bora ungenunua mifi zile ndogo zinakuwa na na battery na unaweza tembea nayo ni kama hotspot za smartphone zifanyavyo kazi, au kama ni kubwa ungetafuta router zinazo support 3G/4G dongle au Simcard nadhani tigo, halotel wanazo, ila kwa hizo hamna cha maana utakachofanya nazo ni old generation nahisi ni 56k modem zilitumika miaka hiyo.
Subiri mtaalam Chief-Mkwawa aje.Dah! Nashukuru sana kwa ushauri wako mimi mwenyewe nilikuwa nahisi hivyo, kwahiyo hii router haisapoti usb dongle duh! Kweli haya makorokoro. Hakuna kingine cha kuyafanya?
Ahsante Nifah ila moyo umeniuma kweli yaani kazi bure.Subiri mtaalam Chief-Mkwawa aje.
Wape watoto wayachezee...Dah! Nashukuru sana kwa ushauri wako mimi mwenyewe nilikuwa nahisi hivyo, kwahiyo hii router haisapoti usb dongle duh! Kweli haya makorokoro. Hakuna kingine cha kuyafanya?
Niuzie mimi hicho kisimu nikiweke kama urembo sebuleni kwangu plz...
Kah! Umenikumbusha ni bora niweke mezani kwangu.Niuzie mimi hicho kisimu nikiweke kama urembo sebuleni kwangu plz...
Nataka itokee kwenye modem 3gHiyo wi-fi unayotaka kusambaza unafikiria kusambaza kwa ukubwa gani? na access-point yako unataka iwe inatokea kwenye modem moja ya 3G/4G?
Nauliza hivi maana hardware inategemea na unachotaka kufanya, kwa mtu mwenye mpango wa kusambaza wifi tuseme park ambayo ni eneo kubwa, anatofautiana na anayetaka kusambaza chumbani, na itatofautiana na anayesambaza kwenye coffee shop au cafe wanayokaa watu 20-30.
Kwa gharama kiasi gani?Ungepata kitu TP Link, inavuta wifi kwa speed kali sana.
150,000-200,000 lakini ni kheri uagize UK maduka kama Maplin, Argos, Amazon,ect.Kwa gharama kiasi gani?
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hapo lazima hayatunze hata kama hayafaiWape watoto wayachezee...