Hakika nduguKweli kuna watu na viatu!!!
Na anayependa makalio ni wewe au ndugu yako?Ni ndugu yangu
Habari wana JF,
Katika siku za karibuni nimejikuta napenda kuangalia wanawake wenye makalio. Kuna siku nikiwa kwenye usafiri wangu nikanogewa kuangalia makalio nikajikuta nadumbukia mtaroni pwaa!
Kwa kweli hii imekuwa kama ugonjwa kwa wanaume wengi. Ushauri kwa wanawake msitingishe sana hayo makalio yenu, you make us go crazy.








nawaza ulovyoinuka ulijisikiaje