Msaada: Nimekuwa 'addicted' na makalio

Msaada: Nimekuwa 'addicted' na makalio

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
Habari wana JF,

Katika siku za karibuni nimejikuta napenda kuangalia wanawake wenye makalio. Kuna siku nikiwa kwenye usafiri wangu nikanogewa kuangalia makalio nikajikuta nadumbukia mtaroni pwaa!

Kwa kweli hii imekuwa kama ugonjwa kwa wanaume wengi. Ushauri kwa wanawake msitingishe sana hayo makalio yenu, you make us go crazy.​
 
Hata mm nimeshindwa kupata treatment mk u!
 
jitahidi usiwe unakaa karibu na madimbwi ya maji machafu kuepuka kuwaona ona chura nakuhakikishia utapona mkuu
 
Hao ni wapiga punyeto wanaandaa picha kwenye ubongo ili wakiwa toilet wavutie hisia.
 
Mods naomba muifute hii threads.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom