Msaada nimekutana na tapeli wa mapenzi

Huyo ni tapeli kweli. ni baharia mzeee hivi anakujaga bongo on and off. ana majina kibao
 

we mtoto!

sasa hapa wizi wa mapenzi uko wapi?

we hujaona wazungu kibao wananongea kiswahili kama wakazi wa tandale?

lakini bado makwao ni europe na america?

mi nadhani uendelee tu kumpa penzi la skype,

mtambulishane kupitia facebook,

mpeleke kwa wazazi kupitia instagram,

send off mfanyie twitter,

vikao vya harusi mfanyie google,

harusi yenyewe mfanyie badoo,

watoto mzale whatsapp!

(ts a joke guys.. dont take it serious!)
 

Ha haaaaaa kama kweli vileee
 

Umesahau na mahali walipe kupitia Airtel Money/Tigo pesa/M pesa
 

Haya nenda uko kwa wenzio. Utamkuta


BOFYA: https://www.facebook.com/hans.brakstad?ref=ts&fref=ts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…