Akili zako ni za kiskype cjui kama hapa watakuelewa! Ngoja wenzio waje.
Sasa ulishaingiwa na tamaa ya kwenda norway lol....wewe unachat na watu usowajua hivi unafahamu kitu kinachoitwa SEX TRAFFICKING/HUMAN TRAFFICKING Unalaghaiwa unapendwa unaletwa ulaya,wengine mpaka wanaolewa kabisaaa then unalipishwa pesa zilizotumiwa kukuleta europe kwa wewe kujiuza mwili wako na pesa zote unawapa wale walokuleta..Unapokonywa documents zote(passports)unafungiwa kwenye chumba/nyumba na unaambiwa ukisema chochote polisi au watsoever unauliwa/au huko kweu ndugu zako wanaweza kuuliwa...BE VERY CAREFUL my dear...This world is full of monsters...habari zenu wana jamvi..... samahani jamani naombeni msaada wa mawazo mimi natumia skype kama mwezi mmoja hv kuna mzungu mmoja akashare contact na mimi tumeendelea mpaka tukaanza relation za kioungo na ukwel anadai anakaa norway.... lakini inavyonyesha hata chating yake kama ya kibongo bongo vile nikajaribu kumpigia skype ni mzungu kweli lakini kuna rafiki yangu kaniambia huyo ni tapeli anaitwa yahaya. naombeni msaada nifanyeje nijue ukweli??? yeye anajiita Hans Brakstad
Mpendwa Ubarikiwe na Heshima kwako. Zaidi niongeze WaUlaya wakisha kutumia na kukupwaga Hulazimisha Mbwa zao kudu!! na sii ajabu kuchukua video clips live katika tendo Haramu!! Ooh God forebide ! Mungu atunusuru..Sasa ulishaingiwa na tamaa ya kwenda norway lol....wewe unachat na watu usowajua hivi unafahamu kitu kinachoitwa SEXUAL TRAFFICKING...Unalaghaiwa unapendwa unaletwa ulaya,wengine mpaka wanaolewa kabisaaa then unalipishwa pesa zilizotumiwa kukuleta europe kwa wewe kujiuza mwili wako na pesa zote unawapa wale walokuleta..BE VERY CAREFUL my dear...This world is full of monsters...
Hakuna utapeli wa mapenzi katika sayari dunia eti. ila kuna kutokuafikiana katika mapenzihabari zenu wana jamvi..... samahani jamani naombeni msaada wa mawazo mimi natumia skype kama mwezi mmoja hv kuna mzungu mmoja akashare contact na mimi tumeendelea mpaka tukaanza relation za kioungo na ukwel anadai anakaa norway.... lakini inavyonyesha hata chating yake kama ya kibongo bongo vile nikajaribu kumpigia skype ni mzungu kweli lakini kuna rafiki yangu kaniambia huyo ni tapeli anaitwa yahaya. naombeni msaada nifanyeje nijue ukweli??? yeye anajiita Hans Brakstad
Inawezekana na wewe ni victim wa card skimming...angalia usijekujifanya una upendo wa online ikala kwako.habari zenu wana jamvi..... samahani jamani naombeni msaada wa mawazo mimi natumia skype kama mwezi mmoja hv kuna mzungu mmoja akashare contact na mimi tumeendelea mpaka tukaanza relation za kioungo na ukwel anadai anakaa norway.... lakini inavyonyesha hata chating yake kama ya kibongo bongo vile nikajaribu kumpigia skype ni mzungu kweli lakini kuna rafiki yangu kaniambia huyo ni tapeli anaitwa yahaya. naombeni msaada nifanyeje nijue ukweli??? yeye anajiita Hans Brakstad