Tibalikwenda
JF-Expert Member
- Aug 27, 2020
- 284
- 614
Wakuu poleni na majukumu'
Jana jioni wakati nalima nilijikata kidole Cha mguu chini ya kucha zikatoka damu nyingi chini ya kucha ,Leo nimeenda kwa dactar kasema nisubir siku 4 nitakua na option mbili 1.
Kidonda kisipopona chenyewe kitatunga usahaa na ndo atakuja kuitoa kucha yangu 2.ndaki ya siku 4 kidonda kitaweza kupona chenyewe bila kuwekewa dawa yyte na amesema kisiguse maji ndani ya siku hzo 4.
Kwa sasa nasikia maumivu kiasi naombeni msaada wenu Ndugu zangu kwani kikitunga usaha itabidi kucha itolewe na nianze kuuguza kidonda.
Naomba mwenye plan B anijuze ili nipone haraka.