Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

Kesi kwani huyo msichana ni under 18?? Hata hivo unatakiwa kusema hivo na hamna kingine cha kujitetea labda useme ulikuwa unaota kitu ambacho hakiwezekani
na hilo ndo lililokuwa akilini niseme nilikuwa usingizini ila had sasa nimekimbia kikao.. kumbe naweza nikaharibu zaidi eeeh..!!!!
 
Hahah akishinda kesi,akuletee mzinga Aliomwaga nusu kama zawadi kwa ushauri bora.
 



Huyo shangazi ana roho ngumu, yaani kaliona dushe lako hata kuomba ummegee kidogo alishindwa? Jamani kuna wanawake wengine wana roho ngumu dunia hii, yaani mwanamke unaliona dushe limenuna ushindwe kuomba kusuguliwa, tena bure? Duh, hii hatari.
 
Hahahahaaa wewe ni kiboko [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sema ukweli maana aba mashaka wewe ulikwenda kule kwa ajili yake.
 
hahaaa point taken
 
unajua nilitaka nijichanganye ile asubuhi ila alivyokataa ndo kanipa chance ya kujitetea vizuri sababu angekubali ile asubuhi nafikiri kila kitu kilikuwa online had muda huu..!!!!
weeee komaa mkuu ila utupe mrejesho tu hasa yaliyojiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…