The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
Habari zenu wakuu mwenzenu leo yamenikuta mimi na mpenzi wangu tunaishi nyumba moja ila vyumba tofauti mimi naishi mwenyewe ila yeye anaishi na shangazi yake imekuwa kawaida shangazi yake.
Sasa usiku wa jana shangazi yake alitoka kwenye mida ya saa mbili hivi na muda huo mpenzi wangu aliniita kuwa shangazi hayupo na atarudi kesho asubuhi hivyo mimi niende kwake na kama ujuavyo mapenzi nikasema sawa.
Tumegegedana kwa raha vizuri na kwenye saa nane hivi nikamwambia acha mimi nikajipumzishe kwangu wakati natoka nilimwacha ametoka kitandani amelala kwenye kochi nikamwambia usilale hapo hadi asubuhi baada ya nusu saa amka ujilaze kitandani.
Basi nimerudi zangu kulala ila ilipofika saa 11 nikashtuka na nikakumbuka yule mwanamke inawezekana amepitiwa pale usingizi anaweza akaliwa sana na mbu pia kuna kuumiza shingo acha nikamwangalie kama amerudi kitandani hapo sasa sina hili wala lile kumbe shangazi alikuwa karudi saa tisa na mimi mzee mzima kwa kujiamini niliingia tu chumbani kwake nikiamini yupo binti tu.
Yule shangazi alishtuka kuniona na nilipomuona nilikimbia fasta kurudi kwangu sasa leo anaitisha kikao nyumba nzima kuhusiana na tukio hili naomba mnipe mawazo naikwepa vipi hii kesi maana naona sijielewi kabisa.