MSAADA: Nimeitwa kazini huku nikiwa najiendeleza kusoma

sheddysm

Member
Jul 10, 2015
14
1
Niliomba ajira kwa ngazi ya cheti na nimepata.
Naombeni Msaada nifanyeje wakati kwa sasa niliingia chuo na kujiendeleza kwa ngazi ya Diploma ya Maabara na mwezi ujao natarajia kumaliza.
 
Omba ruhusa kwa mkuu wako wa kazi, atakuruhusu tu maana hiyo elimu utakayopata itaongeza ufanisi mahala pa kazi..
 
Niliomba ajira kwa ngazi ya cheti na nimepata.
Naombeni Msaada nifanyeje wakati kwa sasa niliingia chuo na kujiendeleza kwa ngazi ya Diploma ya Maabara na mwezi ujao natarajia kumaliza.
Nenda kafanye kazi yaani wewe si bado mwezi mmoja umalize shule au waambie wajue halafu sikiliza watasemaje au wajibika kwenye kazi maana kutafuta kazi mpaka kuipata kazi inachukua muda au wewe mwenyewe unachukua hatua gani!
 
Ripoti kazin mwambie mkuu wako wa idara rudi umalizie mitihani ukaendelee na kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…