Msaada..nimeitwa interview ya mtendaji wa kata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada..nimeitwa interview ya mtendaji wa kata

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by nnn, Sep 27, 2012.

 1. n

  nnn Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu wana JF naomba mnijulishe maswali yanayoulizwa na TUME YA AJIRA kwa wale waliowahi fanya nao interview ya utendaji wa kata.Nawasilisha
   
 2. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hapa kazi kweli kweli labda kazi ujue kazi za katibu kata, uongozi na mambo ya katiba as they seem to be current issue
   
 3. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nenda kwenye website ya chuo cha serikali za mitaa kuna mwongozo mzima wa hao watumishi i know u got it
   
Loading...