Habari za asubuhi wadau, jana jioni nilipata ujumbe mfupi kwa njia ya sms ikinitaka leo asubuhi saa nne asubuhi nihudhurie interview kwenye nafasi ya HR officer, kwa uzoefu wenu ningependa kuwafahamu hawa watu kwa undani..nawasilisha