Msaada: Nimeibiwa Smart phone naweza kuipata?

Real Deal

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
280
Reaction score
114
​Habarini Wanajamii

Jana usiku nimeibiwa Smart phone yangu aina ya Huawei Y330-U11. Simu mpaka saa hizi haipatikani ndo niko njiani kuelekeaa Tigo kuripoti na kupata line mpya.

Naomba msaada wenu ki mawazo naweza kufanya nini ili kuipata au kuitrace na kujua iko wapi.

Simu ilikuwa updated an backed up.

Shukrani

Real deal
 
Kama una IMEI number unaweza ipata ripoti police nenda na namba ya mwisho kupiga pamoja na number ya cm IMEI kama unayo ila kama hauna hivyo vitu sahau
 
Mwombe Mhariri aipeleke thread hii Tech Science and Gadgets.
Wataalam tele wamejaa huko, akina CHIEF MKWAWA, mwl RCT
et al.
 
Last edited by a moderator:
Andika google maneno haya, google device manager, then click hio link halafu sign in user na password yako Kisha jaribu kuitafuta.

Ila ni ngumu sana kuipata simu ya android hasa kama ameshaiformat
 
una IMEI namba na Risiti uliyonunulia simu? IMEI namba ni ya muhimu.
 
Ungekua umeiunga na anti theft apps kama za Avasti,Netquin nk ingekua rahisi zaidi kuipata.
 
una IMEI namba na Risiti uliyonunulia simu? IMEI namba ni ya muhimu.
Asante aleyn, ndo nimetoka polisi kitengo cy cyber crime, wamechukua namba za IMEI na kopi ya risiti wamesema wataifuatilia hasa wakipata kilainishi ili mambo yaende faster.

greatly appreciated
 
Andika google maneno haya, google device manager, then click hio link halafu sign in user na password yako Kisha jaribu kuitafuta.

Ila ni ngumu sana kuipata simu ya android hasa kama ameshaiformat

Mkuu hii kitu safi sana, sijui kama watakuwa wameformat tayari, hata kama sitaipata ngoja nijaribu. Device manager inaonekana iko vizuri kama hawajaformat lazima niwasumbue kwa sana tuu. Polisi cyber crime tayari nao wako kazini.

Greatly appreciated
 
Asante aleyn, ndo nimetoka polisi kitengo cy cyber crime, wamechukua namba za IMEI na kopi ya risiti wamesema wataifuatilia hasa wakipata kilainishi ili mambo yaende faster.

greatly appreciated

Hao polis inabidi uwakumbushe kumbushe, ikiwezekana wape hata ela ya soda. Haraka simu yako utaipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…