Kweli bhana muachie Mungu aendelee kuperuzi.Mwenzenu nimeibiwa cm hata sielewi hapa natumia kicm flan kizito kuandika mnisamehe kwa mwandiko nifanyeje niweze tena kuipata cm yangu maana nimechanganyikiwa nimeibiwa cm wakt ambao sina hata mia ndani maana simu yangu ndo ilikua inaniweka mjini hata sielewi ngoja nimwachie mungu tu jmn
Hvo vtu vinapatikana bora wew upo hai usichanganyikiwe kama una imei nenda policeNimeibiwa cm hapa nahis kuchanganyikiwa, natmia kisim kizito kuandika hapa inaskrach balaa nisameheni kwa mwandiko,nahisi nimechanganyikiwa nifanyeje niiipate tena cm yangu?nimeibiwa cm wakat ambao nimefulia maana cm yng ndo ilikua km jembe kwangu ndo ilikua inanilisha na kuniweka mjini acha 2 nifanyeje nipate cm yang ilioibiwa?
Tatizo hukuona alichopost mwanzoni.Kwani jf ni kwa ajili ya nini? Msaidieni mawazo jinsi ya kuirejesha simu yake, na pia kama haiwezekani just tell him.
Jf kuna watu wenye uelewa mkubwa wa kutrace simu jamani.
Mnatuogopesha mjuwe.