Ne
Kilingana na lini yako uliyokua ukitumia, kama ni Vodacom nenda vodashop kama ni halotel nenda haloshop kisha waambie hivi...
Naomba kujua simu yenye imei fulani xxxxxxxxxxxx imewekewa lini yenye namba ipi???
Watakwambia kama ipo hewani au la.
Au watakwambia kwa sasa hiyo simu imewekewa laini gani.
Then utaendelea na uchunguzi baada ya kupata namba ya mtu mwenye simu yako.
Watakusaidia tu, ikiwezekana wakishindwa watakwambia nenda kamuone nani.