RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET
Member
- Mar 26, 2018
- 72
- 59
Duuh, Sasa mkuu kila mtu Si anatumia simu kulingana na uwezo wake, ndo maana kukawa na iPhone kukawa na tecnoSimu yenyewe ni tecno achana nayo tu kanunue iphone kama ukitaka kuipata simu yako ikiibiwa
duu kwa hiyo inaweza kuwa ndo basi tenaPolisi huwa wanasaidia ingawa inachukua muda sana na anaweza kumpata mwizi akamalizana naye juu kwa juu na ugumu upo kwenye simu zenyewa akienda kubadili IMEI tu ndo basi tena mkuu na nyingi wazibadili kabla ya kuweka line
dah,siku nikimkamata mwizi lazima azaeeee,mamaeeePole nunua ingine. Siku hizi wanazichinja wanaweka motherboard mpya
Hawezi kuipata mkuu mtu akiiba simu huwa anachange imei chap kwa kua yey mwenyewe anajua madhara yake mkuuNenda TCRA tu mkuu na pia pitia polisi wana kitengo cha cyber ingawa sizan kama kina msaada sna
nipeni hiyo teknolojiaMgandishe nayo mkononi,au mtumie nyuki
tatizo la polisi wanazingua sanaHawezi kuipata mkuu mtu akiiba simu huwa anachange imei chap kwa kua yey mwenyewe anajua madhara yake mkuu
me mwenyewe niliibiwa simu ilikua samsung s7 nilihangaika sana ila hamna msaada mkuu
possibilities za kuipata simu yako ikiibiwa labda uwe unatumia iphone tu tena sio kwa asilimia zote!!
Nenda tu polisi ili ukaweke record sawa but hizo simu zinabadilika IMEI kirahisi sana halafu gharama nafuu,so hata hao wezi wanajua ndo maana bado wanaziibaduu kwa hiyo inaweza kuwa ndo basi tena
Kuchenji IMEI ni sawa na kula hela za jiwe, mafundi simu waliitwa na TCRA na wakaambiwa kuusu katazo la kubadili IMEI so akienda polisi then TCRA kama hawatataka rushwa basi either ataipata maana watajua imei hyo imetumika tena kwa namba ipi au cm itafungiwa. Na yote haya ni endapo hawatataka chambishiHawezi kuipata mkuu mtu akiiba simu huwa anachange imei chap kwa kua yey mwenyewe anajua madhara yake mkuu
me mwenyewe niliibiwa simu ilikua samsung s7 nilihangaika sana ila hamna msaada mkuu
possibilities za kuipata simu yako ikiibiwa labda uwe unatumia iphone tu tena sio kwa asilimia zote!!
Sina maana hiyo mkuu namaanisha hivi kutumia simu kulingana na uwezo wako ndiyo sababu inayokufanya ukubaliane na matatizo kama haya kwa sababu tecno ni cheap inamaana hata device security yake haipo strong so inabidi akubaliane na kilichotokea tuDuuh, Sasa mkuu kila mtu Si anatumia simu kulingana na uwezo wake, ndo maana kukawa na iPhone kukawa na tecno
Aaah ok itakua vizuri kama akifanya kwa njia hiyo anaweza ipataKuchenji IMEI ni sawa na kula hela za jiwe, mafundi simu waliitwa na TCRA na wakaambiwa kuusu katazo la kubadili IMEI so akienda polisi then TCRA kama hawatataka rushwa basi either ataipata maana watajua imei hyo imetumika tena kwa namba ipi au cm itafungiwa. Na yote haya ni endapo hawatataka chambishi
Mkuu sheria zimewekwa ili zivunjwe bado mafundi tuna change imei tena sana tu,wenyewe huwa tunaambiana hii ya moto ifanyie mambo,basi faster tu kitu badala ya kusoma k9 kinasoma tecno l8,sasa hao tcra wataipata wapi???Kuchenji IMEI ni sawa na kula hela za jiwe, mafundi simu waliitwa na TCRA na wakaambiwa kuusu katazo la kubadili IMEI so akienda polisi then TCRA kama hawatataka rushwa basi either ataipata maana watajua imei hyo imetumika tena kwa namba ipi au cm itafungiwa. Na yote haya ni endapo hawatataka chambishi
Usishangae ukakata tamaa mapema kabla hujaipata simu yako kutokana police nao pesa mbeletatizo la polisi wanazingua sana
Yeah najua na pia kuwapata inakuaga raisi kama ikiwa ya moto sana iba ya mkubwa aaaaaaf ubadili uoneMkuu sheria zimewekwa ili zivunjwe bado mafundi tuna change imei tena sana tu,wenyewe huwa tunaambiana hii ya moto ifanyie mambo,basi faster tu kitu badala ya kusoma k9 kinasoma tecno l8,sasa hao tcra wataipata wapi???