Ninaharibu vipi familia iliyokwishaoza? Unafikiri hasira zako kwangu zitabadili lolote? Ama na baba yako naye yumo kwenye makundi haya? Ama ni wewe? Mie sidhuriki na hasira zako na pia hazinipi majibu kipi cha kufanya. Baba mkwe wangu ni mchawi jinsi nimejua haitakusaidia
Karanja 007 ndiye uliyemuuliza? Maana kakimbilia kujibu kudefend baba yake, tatizo ukweli uko hapo baba mkwe wangu ni mchawi ninahitaji kujua kipi nifanye? Naona mume wangu wa ajabu.
Mwanaye anajua ila hakuona kama siri hii ninahitaji kuijua mpk ilipobumburuka, lkn naye namwona wa ajabu tu kwakweli. Can't trust him with my life or life of our kids.
Unafikiri kwa kunijibia utabadilisha ukweli ama utafanya mkwe wangu asiwe mchawi? Uchawi upo na utaendelea kuwepo, na wewe kunikebehi haitakaa ibadilishe ukweli wenyewe.
Karanja 007 ndiye uliyemuuliza? Maana kakimbilia kujibu kudefend baba yake, tatizo ukweli uko hapo baba mkwe wangu ni mchawi ninahitaji kujua kipi nifanye? Naona mume wangu wa ajabu.