yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,920
- 4,177
Mkuu,kilichopigwa ban hapo ni number anayoitumia kwa WhatsApp,Tumia official app
Siku hizi sijui wamekuaje kitu kidogo tu banIli tatizo limenitokea na mimi, natumia whatsapp ya kawaida
Tena wakati mwingine, unakuwa haujafanya jambo lolote baya!Siku hizi sijui wamekuaje kitu kidogo tu ban
Wakuu nilikuwa natumia yo whatsapp, nimepigwa ban kama inavyoonekana hapa chini.
Namba hii ni muhimu sana kuwa whatsapp.
Nitumie ujanja gani kuifungua?
View attachment 2712500