Mwilabheghe
Member
- Feb 14, 2018
- 30
- 14
Ni sawa lakini kama mdai alishafungua kesi... Unalo hilo... Kesi haina ukomoWasalaam!
Naomba Msaada wa kifungu cha sheria kinaochoeleza ukomo wa madeni. Nakumbuka nimewahi kushuhudia mtu anashinda kesi Kama hii kortini kwa maelezo kuwa deni limekoma. Hakimu Akasema deni likikaa miaka mitatu hukoma kwa majibu wa sheria na kifungu alikitaja sasa nimekisahau. Naomba kukumbushwa
kesi Sawa. Sina shida na kesi coz tayari ipo kwa kort wala Sio ukomo wa kesi. Shida ni kifungu cha ukomo wa deniNi sawa lakini kama mdai alishafungua kesi... Unalo hilo... Kesi haina ukomo
hizo ni hisia zako ila Sio sheria. kama hujui Unaonaje ungekaa tu kimya? Wanaojua wanipe kifungu? Ulitaka nijue kuwa Nawe ni member? Nimeshajua kausha basiHata kama ni miaka kumi deni halikomi ila unakuwa nje ya mkataba. Usijisumbue ndugu wewe nenda ukalipe kuepuka usumbufu
Kwakweli hilo sijuikesi Sawa. Sina shida na kesi coz tayari ipo kwa kort wala Sio ukomo wa kesi. Shida ni kifungu cha ukomo wa deni
Poa mkuu subiri hayo mafungu ya sheria ndo utakitambua kinachowaweka YONO AUCTION MART mjini. Mnadhani pesa ya mkopo ni zawadi.hizo ni hisia zako ila Sio sheria. kama hujui Unaonaje ungekaa tu kimya? Wanaojua wanipe kifungu? Ulitaka nijue kuwa Nawe ni member? Nimeshajua kausha basi
well. Kuna mtu nilikuwa nafanya nae biashara hzi za kuaminiana. Kunasehemu nilienda kumdhamini mzigo km wa million 5 hivi kwamaelezo kuwa anaenda nao Zambia. Atarudi na pesa ya mdai wake . Hakurudi. Mm ikabidi nilipe lile deni. Lkn before that alikuwa ananidai 2,700,000 aliporudi akaja na maelezo yakuwa alipata ajali na mzigo na akaanza kunidai ile hela yake. Coz yake tuliandikishana ila nilikomdhamini hatukuandikishana kanipeleka mahakamamani so Nataka nitokee hapo kwenye ukomo wa deni.Inategemea ni deni la aina gani mkubwa. Kuna mikopo ya taasisi za fedha, mfano unapewa mkopo wa miaka 3 hadi 6. Sheria zingine zinasema usipolipa kwa kipindi flani, status inabadilika ikifika wakati flani wanakupeleka mahakamani.
Kwa kesi yako, haujaeleza aina au asili ya deni lako.
Kwa maelezo haya huwezi kutoka kwa huo unaouita ukomo wa deni...unachotakiwa kufanya Mahakamani ukifika wakati wa utetezi wa kesi yako ni kuieleza mahakama juu ya kilichotokea kwa hizo transactions mbili...ya mkopo wake dhidi yako na udhamini wako juu ya deni alilokopa yeye...japo swali litakuja je,alikuruhusu ulipe deni kwa kutumia pesa yake anayokudai? au je,kwenye huo mkataba wa udhamini mlikubaliana akishindwa kulipa deni na wewe ukalipa deni kama mdhamini wake,aje akulipe baadae kwa kile ulichokilipa?well. Kuna mtu nilikuwa nafanya nae biashara hzi za kuaminiana. Kunasehemu nilienda kumdhamini mzigo km wa million 5 hivi kwamaelezo kuwa anaenda nao Zambia. Atarudi na pesa ya mdai wake . Hakurudi. Mm ikabidi nilipe lile deni. Lkn before that alikuwa ananidai 2,700,000 aliporudi akaja na maelezo yakuwa alipata ajali na mzigo na akaanza kunidai ile hela yake. Coz yake tuliandikishana ila nilikomdhamini hatukuandikishana kanipeleka mahakamamani so Nataka nitokee hapo kwenye ukomo wa deni.
absolutely no.Kwa maelezo haya huwezi kutoka kwa huo unaouita ukomo wa deni...unachotakiwa kufanya Mahakamani ukifika wakati wa utetezi wa kesi yako ni kuieleza mahakama juu ya kilichotokea kwa hizo transactions mbili...ya mkopo wake dhidi yako na udhamini wako juu ya deni alilokopa yeye...japo swali litakuja je,alikuruhusu ulipe deni kwa kutumia pesa yake anayokudai? au je,kwenye huo mkataba wa udhamini mlikubaliana akishindwa kulipa deni na wewe ukalipa deni kama mdhamini wake,aje akulipe baadae kwa kile ulichokilipa?
Wasalaam!
Naomba Msaada wa kifungu cha sheria kinaochoeleza ukomo wa madeni. Nakumbuka nimewahi kushuhudia mtu anashinda kesi Kama hii kortini kwa maelezo kuwa deni limekoma. Hakimu Akasema deni likikaa miaka mitatu hukoma kwa majibu wa sheria na kifungu alikitaja sasa nimekisahau. Naomba kukumbushwa
Nashukuru sana wakili Msomi. Vp kwakuwa deni lake hatukuandikishana popote. Ila alijaribu kunitengenezea ushahidi kwa kuniitia watu. Nilikili kwa kumweleza bado namdai na nina nia ya kumshitaki kwa kusababisha nilipe deni lake. Sasa Kabla sijamshitaki Yeye kanishitaki.Acha nijitolee kua wakili na mwalimu piaof course napenda kazi yangu ya uwakili.
Mkuu deni kukoma au kutokoma inaweza kua kweli au sio kweli! Ni kweli deni linaweza kukoma kwa msingi huu.. deni ni mkataba ambao kwa mujibu wa sheria inayoitwa “The Law of Limitation Act [CAP 89 R.E 2002] kikomo cha kuleta shitaka juu ya mkataba ni miaka sita, sasa mfano umekopa mwaka 2011 na ukashindwa kulipa lakini mdai wako akakushtaki mwaka 2018(miaka 7 tangu mlipo ingia kwenye mkataba) bila ya kuomba nyongeza ya muda mahakamani deni hilo kisheria litakua limekufa. Deni haliwezi kukoma kama mdai ameleta shitaka lake ndani ya muda. Hoja yako ya miaka mitatu inaweza pia kua kweli au sio kweli. Deni linaweza kufa ndani ya miaka mitatu kama mkataba unasema hivyo kama haujasema basi ni miaka sita kama nilivyo elezea hapo juu. Nakaribisha swali au maswali kama unayo.
kama hakukuwa na makubaliano ya yeye kukulipa deni ulilomdhamini baada ya wewe kumlipia..basi hawajibiki kisheria kukulipa deni hilo. Bali yeye ana haki ya kukudai kwa lile deni lake la mwanzo ambalo bado lipo.absolutely no.
Nashukuru sana wakili Msomi. Vp kwakuwa deni lake hatukuandikishana popote. Ila alijaribu kunitengenezea ushahidi kwa kuniitia watu. Nilikili kwa kumweleza bado namdai na nina nia ya kumshitaki kwa kusababisha nilipe deni lake. Sasa Kabla sijamshitaki Yeye kanishitaki.
Je, Vipi Nami nikimfungulia shauri?
Nashukuru sana wakili Msomi. Vp kwakuwa deni lake hatukuandikishana popote. Ila alijaribu kunitengenezea ushahidi kwa kuniitia watu. Nilikili kwa kumweleza bado namdai na nina nia ya kumshitaki kwa kusababisha nilipe deni lake. Sasa Kabla sijamshitaki Yeye kanishitaki.
Je, Vipi Nami nikimfungulia shauri?
Ahsante. Nashukuru Sana wakili MsomiHiii kisheria inaitwa Counterclaim.... wakati wa kuandika utetezi wako ukishamaliza ndani ya utetezi huohuo unaandika na wewe claim yako kwahiyo zinakua two cases in one.
Ahsante Sanakama hakukuwa na makubaliano ya yeye kukulipa deni ulilomdhamini baada ya wewe kumlipia..basi hawajibiki kisheria kukulipa deni hilo. Bali yeye ana haki ya kukudai kwa lile deni lake la mwanzo ambalo bado lipo.
Na ukomo wa deni upo kwenye kufungua kesi mahakamani tu,na sio kulipana..ikiwa muda uliowekwa na sheria wa kufungua kesi kuenforce deni lako umeisha,hautaweza tn kufungua kesi mahakamani lkn haina maana deni limekufa...maana km ana sababu za msingi za kuchelewa kufungua shauri lake ndani ya mida anaweza kuiomba mahakama imuongezee muda wa kufungua kesi nje ya muda...na akiruhusiwa ngoma ipo pale pale