Msaada Nimedisco chuo

Msaada Nimedisco chuo

Mobile phones are strictly prohibited, haijalishi iwe imewashwa au imezimwa, issue ni kwamba hutakiwi huwa nayo kabisa kwenye chumba cha mtihani..
Hapo bora atafute njia nyingne kuliko kwenda kwa hao mawakili
Ingelikuwa mimi ningelikwenda kwa wakili akanipa wazo. Ukiingia na simu imezimwa......... unawezaje kuitumia kuiba mitihani. Kuna absurdity katika sheria hiyo?????!
 
Habari zenu Wakuu,
Nilikua mwanafunzi wa chuo kikuu,mwaka wa tatu(2016/2017),kuna kosa nilifanya mwaka wa pili(examination irregularity),imepelekea kudisco chuo,naomba kwa anayefahamu kama inawezekana kuomba chuo tena mwakani?,na kama itawezekana kuomba mkopo tena? Ama utaratibu wa Open university anisaidie au kama kuna mwenye ushauri mwingine.
Nawasilisha,akhsanteni![emoji24] [emoji24] [emoji24]

Mkuu Mimi Nina Swali...
Nimejiuliza Sana Nikawaza Hivi Kama Kweli Ni Kosa KUBWA
SANA Kama Watu wanavyosema....Nina hakika Basi Hata uangalizi wake unatakiwa Kuwa Strictly...Sasa kwanini hawakukagua Watu/Watahiniwa kabla ya Kuingia kwenye chumba cha Mtihani??
Kwa Maelezo yako Ni Kuwa walikujakugundua Una Simu Kwa Jinsi Ulivyokuwa Umekaa....Appeal Mkuu Na Reason Pia iwe unaomba kupunguziwa Adhabu Kwasababu
Kwasababu wao walitakiwa kufanya inspection kabla ya Kuingia kwenye chumba cha mitihani huyo Mwalimu aliekukamata Tena Ukiwa Darasani nae anakosa la Kujibu la Kutofanya Inspection Before.
Quality Assurance means doing Inspection before,during and after Exams.
Sasa wao wamefanya During tuu!
 
Ingelikuwa mimi ningelikwenda kwa wakili akanipa wazo. Ukiingia na simu imezimwa......... unawezaje kuitumia kuiba mitihani. Kuna absurdity katika sheria hiyo?????!
Inawezekana uliitumia halaf ukaizima, au una mpango wa kuiwasha uitumie, ndo mana wakasema usiingie nayo kabisa.. Ila hata ukienda kwenye sheria kama ukiwashinda.. Cdhani kama maisha yako ya chuo yatakua mazuri... Utafeli mpaka mwisho.. Maana malecturer nao...
 
Inawezekana uliitumia halaf ukaizima, au una mpango wa kuiwasha uitumie, ndo mana wakasema usiingie nayo kabisa.. Ila hata ukienda kwenye sheria kama ukiwashinda.. Cdhani kama maisha yako ya chuo yatakua mazuri... Utafeli mpaka mwisho.. Maana malecturer nao...
Right, nikiwashinda wakanifelisha kuna utaratibu. Miaka hiyo wakati bado dunia ni ya wasomi weledi, ukiwa na mashaka na usahihishaji wa paper yako, unalodge complaint. Anateuliwa external examiner, KUTOKA NJE YA TANZANIA, A HIGHLY PLACED EXPERT IN THAT FIELD, wanachukua mtu aliyepata marks za juu katika paper hiyo na aliyepaya marks za chini (sometimes na aliyepata za kati) wanalinganisha kama wewe umeangukia wapi katika kujibu maswali hayo. From their they decide and external examiner's voice was final!
Sema kwa TANZANIA YA LEO MUDA HUO HAUPO! UVUNJAJI WA SHERIA NA KATIBA NDIO MWENDO WA HATA VIONGOZI WANAOPASHWA KUVISIMAMIA, NAKUBALIANA NA WEWE
 
Umedisko mwaka wa tatu, then uombe chuo mwakani halaf uanze tena first year?
Mimi sikushauri mkuu, tafuta namna ya kuendelea na maisha kwa biashara n.k. Muda ni mali, na ajira zenyewe ndio hizo miyeyusho...
 
Chunguza special skill uliyonayo then iendeleza,elimu ni ufunguo wa maisha ila sio ufunguo wa maisha mazuri,elimu ni msingi wa maisha,mpaka hapo tayari una ufunguo wa maisha na msingi wa maisha tayari unao hivyo jenga ukuta wa maisha mazuri mwenyewe.You can do something sio mpaka ugraduate degree
 
Back
Top Bottom