Msaada Nimedisco chuo

Msaada Nimedisco chuo

Haya ndio madhara ya kushinda mitandaoni unashabikia mafisadi chadema.

Mungu hapendi kabisa
 
Iaseeee achana na chuo. Hiyo miaka mitatu ulopeteza inatosha. Pambana na maisha. Kama unaweza jifunze udereva kuwa tax driver pale airport utatoboa
 
Nilikuwa naona pale SUA wakidisco wanahama na matokeo yao kwenda Kampala university ya Uganda huko, ebu fuatilia
Ukifanikisha utamaliza sambamba na wenzako
 
Ilikua tar 24 may 2016, nilikua na test 2,ya course flani,due to negligence nilizima phone na kuiweka mfukoni maana sikuwa nimebeba begi,bahati mbaya director wa Q.A katika pitapita zake akagundua uwepo wa simu mfukoni kwangu kutokana na position nlokua nimeketi.Akafikisha ilo suala utawala ndo wakachukua hatua izo
Inamaana ulishidwa jitetea au ukupewa nafac ya kujitetea pole sana
 
Habari zenu Wakuu,
Nilikua mwanafunzi wa chuo kikuu,mwaka wa tatu(2016/2017),kuna kosa nilifanya mwaka wa pili(examination irregularity),imepelekea kudisco chuo,naomba kwa anayefahamu kama inawezekana kuomba chuo tena mwakani?,na kama itawezekana kuomba mkopo tena? Ama utaratibu wa Open university anisaidie au kama kuna mwenye ushauri mwingine.
Nawasilisha,akhsanteni![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Chuo gani mkuu SUA???
 
Kawaone mawakili wanaweza kukupa njia. Kuwa na simu imezimwa unaweza ukalisemea kwenye sheria I guess hata kama rule inasema usiwe na simu
 
Hivi ataanza first year au ataanzia huo mwaka wa tatu aliodisco
 
kaka Fanya kukata rufaa utapewa adhabu tofau
Ilikua tar 24 may 2016, nilikua na test 2,ya course flani,due to negligence nilizima phone na kuiweka mfukoni maana sikuwa nimebeba begi,bahati mbaya director wa Q.A katika pitapita zake akagundua uwepo wa simu mfukoni kwangu kutokana na position nlokua nimeketi.Akafikisha ilo suala utawala ndo wakachukua hatua izo
KOSA LA KUKATA RUFAA HILO MKUU ALAFU UTAPIGWA FAINI NA ADHABU NYINGINE KUWA JASIRI MKUU USIOGOPE HAO WALIMU KUANZA TENA FIRST NI KAZI MAANA UTAAMBIWA ULIPE 25% YA MKOPO ULITUMIA NDIO UOMBE TENA
 
Habari zenu Wakuu,
Nilikua mwanafunzi wa chuo kikuu,mwaka wa tatu(2016/2017),kuna kosa nilifanya mwaka wa pili(examination irregularity),imepelekea kudisco chuo,naomba kwa anayefahamu kama inawezekana kuomba chuo tena mwakani?,na kama itawezekana kuomba mkopo tena? Ama utaratibu wa Open university anisaidie au kama kuna mwenye ushauri mwingine.
Nawasilisha,akhsanteni![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Pole kamanda, uwezekano wa kupata chuo mwakani upo ila siyo chuo kile kle ukichodisco.... Pole sana ndugu
 
Hivi hicho chuo chenu ukishafukuzwa hakina chance ya ku appeal. Hebu ulizia kama vipi unaweza ku appeal na ukapewa tu adhabu ya kurudia mtihan au kufanya supplimentary. Hilo kosa ulilofanya sio kubwa kiivo kustahili adhabu kiivo. Kata rufaa Mkuu
 
Habari zenu Wakuu,
Nilikua mwanafunzi wa chuo kikuu,mwaka wa tatu(2016/2017),kuna kosa nilifanya mwaka wa pili(examination irregularity),imepelekea kudisco chuo,naomba kwa anayefahamu kama inawezekana kuomba chuo tena mwakani?,na kama itawezekana kuomba mkopo tena? Ama utaratibu wa Open university anisaidie au kama kuna mwenye ushauri mwingine.
Nawasilisha,akhsanteni![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Pole . Bila kujali reasons for discontinue, you might have been caught cheating or you are probably among Mbeya teachers,
Ningeshauri kama wazazi wapo vizuri please apply vyuo vikuu vya Uganda. Maana TCU system itaquaerry application yako. So watakupa form
 
Kawaone mawakili wanaweza kukupa njia. Kuwa na simu imezimwa unaweza ukalisemea kwenye sheria I guess hata kama rule inasema usiwe na simu
Mobile phones are strictly prohibited, haijalishi iwe imewashwa au imezimwa, issue ni kwamba hutakiwi huwa nayo kabisa kwenye chumba cha mtihani..
Hapo bora atafute njia nyingne kuliko kwenda kwa hao mawakili
 
Hivi ataanza first year au ataanzia huo mwaka wa tatu aliodisco
Hapo nahis inategemea na chuo, ndo aseme alikua anasoma chuo gani... Kama chuo kinachogawanya cozi katika NTA LEVELS, anaweza kuomba cheti cha higher diploma ambacho kitainclude matokeo ya mwaka wa kwanza na wa pili, means NTA LEVEL 7.. hapo mwakani ataenda chuo kingne kinachofata mfumo huo na kuendelea direct na mwaka wa mwisho tuu, means NTA LEVEL 8, ambayo ndo mwaka wa tatu wa degree.. Lakin kama chuo chake hakipo kwenye system hyo hapo itabidi anapoenda aanze mwaka wa kwanza coz hatopewa cheti chochote.. Kwanza aseme kasoma chuo gani.. Ndo ushaur utafata
 
Hivi hicho chuo chenu ukishafukuzwa hakina chance ya ku appeal. Hebu ulizia kama vipi unaweza ku appeal na ukapewa tu adhabu ya kurudia mtihan au kufanya supplimentary. Hilo kosa ulilofanya sio kubwa kiivo kustahili adhabu kiivo. Kata rufaa Mkuu
Hlo kosa ukilifikiria kwa kawaida unaweza sema sio kubwa, bt ni kosa kubwa sana... Coz kukutwa na cm ni sawa na mtu aliyekutwa na kizenga, coz unaweza ukaiwasha ukaitumia then ukaizima.. Ndo mana wanakwambia hairuhusiwi hata ikiwa imezimwa,. Mi nshashuhudia watu kama watatu wamedisco kwa kosa kama hlo.. Na mwingne alipewa suspension ya semista 6.. Ni kosa kubwa.. Cha msingi atafute njia nyingne kama ni kujiendeleza au vp
 
Habari zenu Wakuu,
Nilikua mwanafunzi wa chuo kikuu,mwaka wa tatu(2016/2017),kuna kosa nilifanya mwaka wa pili(examination irregularity),imepelekea kudisco chuo,naomba kwa anayefahamu kama inawezekana kuomba chuo tena mwakani?,na kama itawezekana kuomba mkopo tena? Ama utaratibu wa Open university anisaidie au kama kuna mwenye ushauri mwingine.
Nawasilisha,akhsanteni![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Nenda club nyumban
 
Back
Top Bottom