Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,542
Hapo awali nilitumia ile njia ya kuweka framaroot yaani one click root alafu custom niliweka file katika memory card na kufuata maelekezo kutoka youtube yaani kwa kifupi ilikuwa rahisi sana.Kwanza uliroot kwa kutumia njia gani?
Afu ulibarishaje ROM?
ROM uliitoa wapi?
Rom nili google tu! Nahisi hili ni tatizo.Kwanza uliroot kwa kutumia njia gani?
Afu ulibarishaje ROM?
ROM uliitoa wapi?
Nenda ofisi za samsung watakusaidia mi pia ilinitokea hivyo baada ya kuroot simu yanguSalaam jf.
Simu y angu aina ya
Samsung Galaxy Y Duos S6102. Nilifanikiwa kuiroot na kuifanyia custom kutoka 2.3.6 gingerbread kwenda 4.4 kit kat sasa hii kitu 4.4 ikawa imemaliza memory yote alafu ikawa slow sana. Nikaamua kurudi tena kwenye 2.3.6 kwa kutumia odin but sikufanikiwa simu iligoma katika samsung logo na maandishi ya ya samsung yaligeuka kichwa chini miguu juu, Je naweza sema simu ndio imebrick au ?manake hata recovery mode haikubali kioo kina blink kama indicator ya gari alafu ni cheupe hakuna kitu zaidi ya ku blink logo.
Msaada wao wanakupa simu nyengine au wana repair?Nenda ofisi za samsung watakusaidia mi pia ilinitokea hivyo baada ya kuroot simu yangu
Note: sishauri mtu aroot simu yake maana ni risk sana coz unaweza kufuta chochote alafu simu ikagoma hata kufanya recovery
Mkuu yaani hata recovery mode haitaki yaani down+home key+ power haitaki.Google Sammobile then tafuta Stock Rom ya model ya simu yako na idownload. Tumia odin kwenye PC kuflash stock rom