Msaada: Nimeajiriwa Kama Assistant Accountant

Mm nahisi tatizo la mtoa mada ni hicho cheo cha Assistant hakitaki anataka awe Accountant kaazi kweli kweli wenzake wanatafuta hizo kazi hawazipati wengine wanazichezea hatare kabisa
 
Nipo mjini mkuu,,, ila nimeipenda hii point yako Ila bana kikubwa.... Kazi ni ile inayo kupa furaha hata kama unafanya bure.
 
PRIDE ndio tatizo lako....kwakuwa una digrii unadhani unastahili nafasi inayofuata na si hiyo uliyopewa, nadhani kuwa na digrii ya Bcom/accounts haikufanyi kuwa accountant.....
 
PRIDE ndio tatizo lako....kwakuwa una digrii unadhani unastahili nafasi inayofuata na si hiyo uliyopewa, nadhani kuwa na digrii ya Bcom/accounts haikufanyi kuwa accountant.....
Sina maana hyo umenielewa vibaya
 
Yeah! Bila hivyo utendaji kazi utakua ni shida.... Tuvitu tudogo tudogo kazini tuta kupa hasira... Kuna time utaacha hata kuongea na co_workers unakua kivyako vyako...

Mawazo hayo ya hio kazi...

Mtaani huku niku gumu sana... Asi kwambie mtu!

Nili wai kuacha kazi nisiyo ipenda... Haikuni sumbua sana kiakili... Ila kuna kamsoto flani nili kapata Dah! Nili kula hela yote ika isha... Dadeki..

USHAURI : Weka malengo mapema kwenye hio kazi, ili siku una aamua kuiacha uwe walau umeyafikia.

Kama niku soma hio CPA do it now... Hakuna muda mwingine. Kama niku save kiasi flani cha pesa do it now... Hakuna time nyingine...
 
asante kwa ushauri wako
 
Dah kuna watu mnapenda Sana kukufuru mungu.acha kazi
 
Huyu alitegemea akienda digirii yake yeye awe bosi kumbe hizo ni ndoto za shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…