homomorphism
Member
- Feb 12, 2017
- 81
- 80
Niliagiza mzigo kutoka U.S.A kupitia Fedex, leo nime track naambiwa mzigo umefika Dar es salaam, clearance instruction from importer are requred.
Nini natakiwa kufanya pia hizi instruction nampa nani na ni instruction zipi.
Angalia attachment hapa chini[emoji116]
View attachment 1538778
- Wapigie simu FedexNini natakiwa kufanya pia hizi instruction nampa nani na ni instruction zipi.
- Wapigie simu Fedex
- Wape tracking namba zako, ili watambue mzigo wako
- Watakueleza nini na nini inatakiwa kifanyike ili clearance iendelee
- Kwa kawaida ilitakiwa wao ndio wakupigie simu.
Jiandae kulipia gharama za
- VAT/ TAX
- Clearance fee
Watakujulisha na watakupa mchanganuo mzima.

Fanya mawasiliano nao, watakujulisha.Mzigo ni wa dollar 50 ada kuutoa niandae sh ngap maana umenistua
Fanya mawasiliano nao, watakujulisha
Alafu fedex siku hizi wapo slow sana. Karibu watalingana na singapore post.Agent wa Fedex TZ wahuni tu.
Jiandae kulipia gharama za
- Wapigie simu Fedex
- Wape tracking namba zako, ili watambue mzigo wako
- Watakueleza nini na nini inatakiwa kifanyike ili clearance iendelee
- Kwa kawaida ilitakiwa wao ndio wakupigie simu.
- VAT/ TAX
- Clearance fee sawa kabs
Watakujulisha na watakupa mchanganuo mzima.