Msaada: Nikiwasha computer inakuwa white screen. haioneshi chochote

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
194
juzi nilizima kompyuta baada ya kumaliza kuitumia kwa kufuata taratibu. ila jana naiwasha haioneshi chochote. screen imekuwa grey au white. afu kuna kipindi kama imeonesha black bars.
 
jaribu kuiwasha kwa safe mode and then go to restoration and choose previous dates coz kuna possibility kuna virus aliingia wakati unaitumia kabla ya kuizima kwa mara ya mwisho otherwise it might be a technical prb
 
Fanya / observation yafuaatayo utoe feedback .

  • Ukiwasha kuna alert ya taa ngapi unazoona na zina rangi gani . Kuna taa ya power, HDD na betri . nk
  • Discharge kabisa claptop kwa kuzima kisha chomoa betri( japo Sina uhaika kama ndio njia sahii ya usocharge motherboarza Toshiba. Unaweza soma manual)
  • Tafuta screen nyingine ( external)au jaribu kupachika uone itakuwaje. Au kama una projector jaribu kuunganisha na projector. kama tatizo ni screen utagundua hapa.
  • etc
NB
Hiyo mbinu inaitwa toubleshooting by isolation . Yaani unatenga chanzo cha tatizo moja bada ya lingine mpaka unafikia conlcusion ya uhakia kujua chanzo au sababu ya tatizo hasa ni nini.
 
I think itakuwa ur Graphics card is dead!!!
 
jaribu kuiwasha kwa safe mode and then go to restoration and choose previous dates coz kuna possibility kuna virus aliingia wakati unaitumia kabla ya kuizima kwa mara ya mwisho otherwise it might be a technical prb

Mkubwa ni kwamba inakuwa totally white. so option yoyote haidisplay si command, normal wala safe mode.
 
Fanya / observation yafuaatayo utoe feedback .

  • Ukiwasha kuna alert ya taa ngapi unazoona na zina rangi gani . Kuna taa ya power, HDD na betri . nk
  • Discharge kabisa claptop kwa kuzima kisha chomoa betri( japo Sina uhaika kama ndio njia sahii ya usocharge motherboarza Toshiba. Unaweza soma manual)
  • Tafuta screen nyingine ( external)au jaribu kupachika uone itakuwaje. Au kama una projector jaribu kuunganisha na projector. kama tatizo ni screen utagundua hapa.
  • etc
NB
Hiyo mbinu inaitwa toubleshooting by isolation . Yaani unatenga chanzo cha tatizo moja bada ya lingine mpaka unafikia conlcusion ya uhakia kujua chanzo au sababu ya tatizo hasa ni nini.

rangi zote zinawaka kama kawaida ya battery, power on na umeme. na nimejaribu monitor zingine bado inaonesha vile vile. nimeipiga blower bado hamna kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom