Msaada: Nikitumia flash yangu kwenye iphone inagoma

Tv ina sehemu moja ya usb ya data na iyo ya moto inakosa sehemu ya kuweka, hapo itakuwa vp!
ya moto inaenda kwenye source ya moto mfano chaja ya simu, au powerbank na ya data inaenda kwenye tv.
usb-power-injector-for-external-hard-drives2_orig.jpg


kama ni mfupi huo wa power unauongeza tu na waya wa usb (male-female)
926_pic.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom